uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
- Thread starter
- #101
Southampton 3-3 Arsenal [emoji16]
If you know [emoji16]
If you know [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu limeongoza ligi kwa miezi kumi linaachia ubingwa [emoji16]
Unazungumzia Arsenal ya mwaka gani mkuu?
Jaribu kuficha aibu zako, Timu mbovu inaweza kuongoza ligi? Tena EPL??
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilidhani ungemaliza andiko lako kwa kutaka majibu ya swali lako. Lkn cha kushangaa umehitimisha mwenyewe. Nashauri JF iangalie uwezekano wa kukagua CV wakati members wanajisajili ili kuepusha uandishi duni kama huu
Huku ndo kukariri sasa
Arsenal ni timu kubwa . Utakuwa wewe ni mpumbavu