Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

Kuna ik kudubwasha odergard kilikataliwa manchester united, bayern na Madrid arsenal ikaokota huu utumbo [emoji16]

Kimguu cha kushoto km kinacheza tandika veterans [emoji16]
 
Kuna kile kikocha arteta kichwa kikubwa ameshinda kibahati naye anajiona jinias kumbe ni level za kina ruben selles aliyeishusha southampton daraja
 
Eti ramsdale wanamtegemea awape taji la Epl [emoji16]
 
Manina zao arsenal

Makocha wanaume wakuchukua Epl kwasasa ni pep, ten hag na kloop sio lile tahira arteta [emoji16]
 
Arteta akikaa kwenye touch line anajiona Pep ila ukifumua lile bichwa lake ni bora ole gunner [emoji16]
 
Eti saka ndio mchezaji atakuwa anakuwa mchezaji anakula mkwanja mrefu Arsenal [emoji16]
Kile kituko kinadokoa mpira na mguu wa kushoto eti mchezaji ghali wa Arsenal [emoji16]
 
Arteta na miporojo zake at all or nothing

[emoji16][emoji16]
 
Arteta alikataliwa na wenye timu kina thiery henry kuwa sio kocha sasa maboss wataamini
 
Arteta bichwa enzi zake anacheza alikuwa anatokea benchi kiungo lisilo na ubunifu hatambuliki hata utaifa wake
.jinga we arteta
 
Gabriel jesus: we will keep winning because anything can happen between now and may [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

May ya nyiok? Eeee
 
Arteta: I have lived in this country (england) for more than twenty years anything can happen between now and may [emoji16][emoji16][emoji16]

Nyiok
 
Hizi takataka zingechukua ubingwa ningestaafu rasmi kuangalia Epl

Timu bovu
 
Nilishangaa eti arteta ile takataka uchukue Epl [emoji16]
 
Manchester united 3-2Arsenal [emoji16]

If you know [emoji16]
 
Evarton 1-0 Arsenal [emoji16]

If you know [emoji16]
 
Arsenal 1- 3 manchester city [emoji16]

If you know [emoji16]
 
Back
Top Bottom