Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

Msimu bora wa Arsenal baada ya miaka 15 ni kushka nafasi ya pili[emoji16]
 
Xhaka amekaa Arsenal miaka zaidi ya kumi kashinda FA mbili [emoji16]

#cursed Arsenal
 
Arteta ameambiwa auze vichezaji kumi ili aweze kusajili vichezaji vyenye nafuu viwili [emoji16]

#cursed Arsenal
 

Ilicheza vizuri, kwani wewe huna TV yenye channels za mpira ulaya? Hukuwa unaangalia Premier League?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…