Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

Inakuwaje timu mbovu ya Arsenal iongoze ligi ya Uingereza hadi sasa? Top team za EPL zinakosea wapi?

Msimu bora wa Arsenal baada ya miaka 15 ni kushka nafasi ya pili[emoji16]
 
Xhaka amekaa Arsenal miaka zaidi ya kumi kashinda FA mbili [emoji16]

#cursed Arsenal
 
Arteta ameambiwa auze vichezaji kumi ili aweze kusajili vichezaji vyenye nafuu viwili [emoji16]

#cursed Arsenal
 
Kumetokea nini Ligi kuu ya uingereza?

Nimeangalia msimamo wa Epl nikakuta timu mbovu ya Arsenal inaongoza ligi kwenye duru ya kwanza kwa tofauti ya point nane. Hii ni aibu aibu.

Fikiria kikosi kibovu cha arsenal inakuwa juu ya msimamo! Msimu huu nimeangalia me his tano za arsenal nikapata majibu kuwa Arsenal hawezi kufuzu hata Uefa.

Mdau moja ameniambia Arsenal inaongoza ligi kwasababu ya break ya Kombe la Dunia lkn bado sijaridhika.

Arsenal ina wachezaji watatu tu wazuri saka, martinel na potter wengine wote vimeo.

Timu zitakazofuzu uefa msimu huu;
~ Manchester united
~ Manchester city
~ Newcastle united
~ Liverpool

Mpaka January inaisha naamini gape la point nane litakuwa limebaki zero.

Poor arsenal!

Ilicheza vizuri, kwani wewe huna TV yenye channels za mpira ulaya? Hukuwa unaangalia Premier League?
 
Back
Top Bottom