Ile sherehe ya Makonda ilikuwa ya nini, sio kwisha kwa corona?kwani wametangaza hatutougua tena au wamesema imeondoka milele .
mbona china ilikua free leo wamethibitisha 50+
Matatizo huwa hayaishi kwa kutamka.Akili zenu Chadema mnapenda matatizo.
Tumeshawajua
Nchi lazima isonge mbeleMatatizo huwa hayaishi kwa kutamka.
Wiki iliyopita Waziri wa Afya alitutangazia kuwa Tanzania imebakiwa na wagonjwa wanne 4 tu walio na virusi vya COVID-19 baada ya wagonjwa waliofikia 500+ kabla kupona na ugonjwa kupungua kama sio kwisha kabisa. Leo Waziri Mkuu anatuambia kuna wagonjwa 66 nchi nzima.
...
Hakuna lawama yeyote zile ni takwimu zilizotolewa na viongozi.Aya ya kwanza ni lawama.
Aya mbili za mwisho ndiyo za msingi, kwamba korona haijaisha na wanaopuuza kuzingatia ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi, hakuna shaka wataambukizwa. Ndio hao wakuongezeka na watakaongezeka zaidi...
Mkuu Corona isikie tu! Imenitandika hasa!Ila tumeacha kuchukia tahadhari kabisa.
Watu waliowahi kupata Corona watupe ushuhuda.Hii homa ya Corona ni kali kama ya Malaria?
Hakuna lawama yeyote zile ni takwimu zilizotolewa na viongozi.
Ninaweza kuwa natimiza wajibu wangu wa kujikinga lkn kama serikali yenyewe haitimizi wajibu wake ni kazi bure, maana huu ugonjwa haukuanzia Nangurukuru umekuja kwa ndege, mimi siwezi kudhibiti wanaoingia nchini mipakani, bandarini na airport.
Nawe unayo serikali yako pembeni?Sikubaliani na hoja ya kuitaka Serikali itangaze takwimu kwa kuwa siyo msingi wa mtu kuzingatia ushauri wa kinga ila ama ni kuweka hofu au kuijengea jamii imani potofu kuwa ugonjwa haupo. Takwimu ziendelee tu kutumika na utawala, ngazi zote, kufuatilia na kuthamini kiwango cha maambukizi ili kuchukua hatua stahiki na haraka iwezekanavyo.
Shutuma na lawama hizi hazitofautiani na mwanzo wa korona kuwa Serikali haikujiandaa na kwa sababu hiyo maiti zingezagaa mitaani. Ni uzushi wa kupuuza. Mwisho wa siku ni wewe mtu binafsi utaambukizwa na hatimaye kifo na siyo Serikali.Kifupi ukiambiwa Corona Tanzania imekwisha changanya na za kwako. Nchi za wenzetu zinajiandaa na mlipuko wa pili wa ugonjwa sisi tume relax. [emoji120][emoji120][emoji120]
Wajiulize Ebola imeshaisha na kurudia kulipuka mara ngapi kwa nchi za wenzetu...?kwani wametangaza hatutougua tena au wamesema imeondoka milele .
mbona china ilikua free leo wamethibitisha 50+