Inakuwaje tuambiwe Corona inapungua ilhali wagonjwa wanaongezeka?

Inakuwaje tuambiwe Corona inapungua ilhali wagonjwa wanaongezeka?

Hii nchi Ni miongoni mwa seven wonders duniani bado takwimu nyingine itskuja 16/6
 
Katika hesabu kuna mainazi - plasi +, hapo unaoona wameongezeka huenda ni wale wagonjwa wa akiba.
 
Ila tumeacha kuchukia tahadhari kabisa.

Watu waliowahi kupata Corona watupe ushuhuda.Hii homa ya Corona ni kali kama ya Malaria?
X 5 ya malaria.

Kichwa kama unagongwa nyundo, mifupa kama inaparwa kwa msumenp wa kukatia chuma, pumzi unapata nusu ya kswaida na ikikuzidi unavuta robo ya kawaida. Hapo tena unaanza kupata panic attack. Na kama utakosa access ya kuwa karibu na kutowaona familia tena ndio inakuvuruga nakufiiria utatupwa msitu gani na familia kama watajuilishwa utakapokufa!

Ikikukukumba una chance kubwa ya kupona ukijitibu nyumbani. Ondoa watoto baki na wa kukutibu tu wakato na yeye anapiga dozi kabla haijampata. I have miracoulasly survived to tell the tale!
 
Ila tumeacha kuchukia tahadhari kabisa.

Watu waliowahi kupata Corona watupe ushuhuda.Hii homa ya Corona ni kali kama ya Malaria?
Sio kila anaepata maambukizi ya Corona anakua na homa kali, kikohozi ama mafua. Binafsi nilipata dalili hizi, Uchovu na viungo vya mwili kuuma, kifua kubana pamoja na kupumua kwa shida.
Kuna wengine hawaonyeshi dalili zozote wanadunda tu kitaa.
 
Saivi watu wamedanganyika kutokana na kauli za wakubwa na pongezi za bunge kwa jiwe kwa kuangamiza Corona. Jana nimepanda basi nikaona watu wa3 tuu ndo wamevaa barakoa!!
 
Kwani hukusikia corona ilikuwa imeisha China wakafungua biashara ila imelipuka tena sasa hivi wanasaka watu 200000 wanaohisi walikuwa na contact na wagonjwa wa corona kwenye soko?

Itabidi tujifunze kuishi nayo tu corona is our guest na haondoki hivi karibuni
 
Sio kila anaepata maambukizi ya Corona anakua na homa kali, kikohozi ama mafua. Binafsi nilipata dalili hizi, Uchovu na viungo vya mwili kuuma, kifua kubana pamoja na kupumua kwa shida.
Kuna wengine hawaonyeshi dalili zozote wanadunda tu kitaa.
Ulipata changamoto gani kupata kipimo cha Corona?
 
X 5 ya malaria.

Kichwa kama unagongwa nyundo, mifupa kama inaparwa kwa msumenp wa kukatia chuma, pumzi unapata nusu ya kswaida na ikikuzidi unavuta robo ya kawaida. Hapo tena unaanza kupata panic attack. Na kama utakosa access ya kuwa karibu na kutowaona familia tena ndio inakuvuruga nakufiiria utatupwa msitu gani na familia kama watajuilishwa utakapokufa!

Ikikukukumba una chance kubwa ya kupona ukijitibu nyumbani. Ondoa watoto baki na wa kukutibu tu wakato na yeye anapiga dozi kabla haijampata. I have miracoulasly survived to tell the tale!
Pole sana.Huu ugonjwa ni hatari sana
 
Saivi watu wamedanganyika kutokana na kauli za wakubwa na pongezi za bunge kwa jiwe kwa kuangamiza Corona. Jana nimepanda basi nikaona watu wa3 tuu ndo wamevaa barakoa!!
Hivi mkuu kama hao watu wangekuwa wanaona wagonjwa wengi wa corona huko majumbani unadhani wangeacha kuvaa barakoa kisa serikali imesema corona imepungua au haipo hali ya kuwa wao wanawaona wagonjwa na hata vifo?
 
Hakuna kiongozi aliyesema Corona imekwisha na tusijikinge. Usipende kupakazia viongozi wetu vitu ambavyo hajawahi kuvisema.
 
Marekani haijatangazwa kuwa corona imeisha ila watu wameruhusiwa kuandamana na hawavai hata barakoa.
 
Pale unapoambiwa akili za kuambiwa changanya na zako China corona imefumuka tena mji mkuu wao. Marekani baada ya maandamano maambukizi yameongezeka.

Kenya Uganda majirani zetu hakueleweki ... Lockdown isiwepo lakini tahadhari isimamiwe
 
Kusema corona imekwisha ilikuwa ni kumfurahisha yesu wa Chato na bunge lokatoa azimio la kumpongeza. Tz hakuna tofauti ya msomi na asiye soma, wajinga ni wengi na wengine wana madaraka makubwa
 
Shutuma na lawama hizi hazitofautiani na mwanzo wa korona kuwa Serikali haikujiandaa na kwa sababu hiyo maiti zingezagaa mitaani. Ni uzushi wa kupuuza. Mwisho wa siku ni wewe mtu binafsi utaambukizwa na hatimaye kifo na siyo Serikali.
Kuna watu ni vilaza sana, hasa wanaojiita matanga
 
Utakubaliana na mimi kuwa wajibu wa Serikali ni kuweka mazingira salama ya kuzuia maambukizi km kusimamia ipasavyo ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi unafuatwa bila shurti, km sehemu zenye mikusanyiko (mipakani, viwanja vya ndege, usafiri wa abiria, nk) wahusika wawajibike kuhakikisha watu wanazingatia kanuni za kinga dhidi ya maambukizi. Wewe na mimi pua nyimbani kwetu tuwajibike.

Kwa mtu mmoja mmoja, kama ni lazima kuwepo kwenye mkusanyiko wa watu wenye kila uwezekano wa maambukizi, ni budi kujiandaa. Mtu ajilaumu mwenyewe akiambukizwa km hakuvaa barakoa lakini anakuwa karibu na mtu ambaye naye hakuvaa barakoa...
Inawezekana takwimu zisinisaidie mimi lkn tunadanganya hata mashirika yanayofanya utafiti kama WHO nk.

Unashauri tuvae barakoa, kama viongozi wakuu hawaonyeshi mfano wa kuvaa unategemea watu wa kawaida watavaa?
 
Back
Top Bottom