Inakuwaje tuambiwe Corona inapungua ilhali wagonjwa wanaongezeka?

Mkuu ukiwa matanga huwezi jua/ona waliokufa, ila ukitumia/rudishiwa brain yako hutahitaji mpaka mtu akuandike humu bali utajionea mwenyewe hali halisi
 
Nawe unayo serikali yako pembeni?

Mbona hiyo unayoitetea inafanya kinyume cha unayotaka iwe, hata kama taarifa wanazotoa ni za kipuuzi!
Taarifa za watu kufa au kuugua ni ndugu pekee ndio wanaojua sasa watu wasitutengenezee takwimu zao uchwara , na kama watu wakifa au kuugua hawajifichi wanaonekana na sio siri tena.
 
Corona ?!!! Bado mnajadili hiko kitu... Mnaanza kutishana sasa
 
Inawezekana takwimu zisinisaidie mimi lkn tunadanganya hata mashirika yanayofanya utafiti kama WHO nk.

Unashauri tuvae barakoa, kama viongozi wakuu hawaonyeshi mfano wa kuvaa unategemea watu wa kawaida watavaa?

Yaani tutegemee WHO kufanya utafiti? Dhana potofu kabisa yenye harufu ya kutokujiamini na kutukuza kutawaliwa.

Du, kwa kuwa viongozi hawavai barakoa basi na wewe usivae! Hoja mufu na ya kitoto. Vipi, hujabaini kuwa maambukizi mengi nchini na vifo ni vya hao wakati wananchi wa kawaida wanadunda tu wakiendelea na maisha yao!
 
Wapi nimeitukana serikali.
 
Maana rahisi ya uongozi ni kuonyesha mfano.
 
"Ila imelipuka" Matanga mjifunze basi kuandika kwa usahihi
 
Leo hii hapa halmashauri ya jiji la mwanza tumempoteza engineer kwa corona, kwao ni moshi lkn amamuliwa azikwe hapa mwanza.
 
Hapa kwetu tunadanganyana tu na pili huwezi kuilinganisha Tanzania na china ni vitu viwili tofauti kabisa
kwani wametangaza hatutougua tena au wamesema imeondoka milele .

mbona china ilikua free leo wamethibitisha 50+
 
Corona inaua kuliko malaria
Ila tumeacha kuchukia tahadhari kabisa.

Watu waliowahi kupata Corona watupe ushuhuda.Hii homa ya Corona ni kali kama ya Malaria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…