Inakuwaje Uingereza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Inakuwaje Uingereza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

XaviMessIniesta

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
2,231
Reaction score
2,778
Wakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.

Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini?
 
Mabishano ha kisiasa pia uingereza wanafikiria ama kutoruhusu mashabiki kwenda urus na ikiwezekana wanaweza kujitoa kombe la dunia la urus
 
Graham Poll
Graham Poll has been named as one of 14 referees who have been sent home from the World Cup.
_47989786_poll512x288.jpg
images
graham_poll_1236337c.jpg


The English referee has paid the price for his yellow-card blunder in the Australia versus Croatia game when he booked Josip Simunic three times.

At the 2006 FIFA World Cup in Germany, he refereed two matches successfully. In his third game, Croatia vs Australia, he cautioned the same player three times before sending him off. Poll retired from refereeing international tournament finals matches, citing his error in the match. He continued to referee in the Premiership, Champions League and on international games, but said he would not allow himself to be nominated to represent the FA at any tournament finals as he felt he had his chance.[7]
 
Hii issue mzee wenger aliwahi kuiongelea , akiwapondea marefa wa EPL kuua quality yao ni ndogo ndo maana FIFA haitawachagua. Naona yametimia.
Mkuu ishu kubwa ni mahusiano ya kidiplomasia kati ya Russia na UK kuwa mabaya miezi ya hivi karibu ambapo imepelekea hadi kufukuzwa kwa wanadiplomasia wa uingereza nchini Russia na hata balozi wao alishatimuliwa tayari
 
Wakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.

Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini?
Ungekua unafwatilia mambo ya msingi hasa yanayotokea huko majuu usingeuliza swali la kizembe kama hili!!

Unajua nini kinaendelea kati ya russia na uingereza?
 
Back
Top Bottom