Gef
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 500
- 433
Ubora wa ligi haumaanish ubora wa waamuzi.... sawa hakun waamuz vilaza dunian kama England bora BurundiWakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.
Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini?