Inakuwaje Uingereza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Inakuwaje Uingereza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

Wengi walipata adhabu kutokana na maamuzi yasiyotukuka hivyo FIFA wameamua kucheza nao mbali wote.

Wakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.

Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini?
 
Yaani, taifa hili linahitaji kweli MABADILIKO, haswa kwenye mfumo wetu wa elimu. Watu wanaongea as if Russia ndiye anayechagua marefa!! Na kama alivyosema mdau mmoja hapa, katika suala ambalo FIFA siku zote hawawezi kujiingiza, ni suala la siasa za nchi wanachama.
tz weka picha tu maelezo wataweka wao
 
Maamuzi yao yana utata sana, angalia mechi ya jana walivyoiua Stoke City kwa Arsenal. They're mediocre.
 
Aisee watu humu ni vichwa ngumu balaa. Mara mbili nimeweka link inayoelezea kwanini UK haina uwakilishi katika marefa katika 2018 WC. Lakini bado watu wanakuja na maelezo ya uongo tu.

Sababu ni kwamba refa pekee wa UK aliyekuwa kwenye pool ya marefa wenye uwezekano wa kwenda Russia, alistaafu urefa. FA waliomba wam-replace na refa mwingine, FIFA ikakataa. Hivyo kwenye pool kukawa hakuna refa kutoka UK. Hii ndiyo sababu.

Si ungeeleza pia kama unayajua kuhusu muda wa training nao ulishayoyoma.. na aliyekuwa amechaguliwa alienda.. vipi na Singapore imeingiaje eti?
 
Nafikiri FIFA wamejiongeza tu kutokana na hali ya sintofahamu baina ya UK na Urusi imebidi warahisishe kazi kuliko kuwateua halafu baadae mkaambiwe watu wetu hawatashiriki
Hili ndo jibu halisi
 
Si ungeeleza pia kama unayajua kuhusu muda wa training nao ulishayoyoma.. na aliyekuwa amechaguliwa alienda.. vipi na Singapore imeingiaje eti?
Sijaelewa ulichoandika. Kuna links niliziweka zikielezea sababu za UK kutokuwa na refa WC 2018. Hayo mengine sijaelewa.
 
Nafikiri FIFA wamejiongeza tu kutokana na hali ya sintofahamu baina ya UK na Urusi imebidi warahisishe kazi kuliko kuwateua halafu baadae mkaambiwe watu wetu hawatashiriki
Labda huwa husomi habari,huu mchakato wa kuchagua marefaree wa WC wala haujaanza leo,tokea mwezi wa 3 mwanzoni kulikuwa na habari za uhakika kabisa kwamba waamuzi wa uingereza wengi FIFA imeshindwa kuwapitisha majina yao sababu wana makosa mengi sana uwanjani.Hii issue wala haihusiani na Huu mvutano wa UK na Urusi,kwanza jua kabisa FIFA haifungamani na mambo yz kisiasa hata siku moja,hivyo hawawezi kufanya maamuzi kwa influence za kisiasa.
 
Hili ndo jibu halisi
FIFA haifungamani na siasa hata siku moja.Na hizi habari za kutokuwezpo kwa waamuzi wa Uingereza zimesikika hata kabla ya hu mvutano,labda hufuatilii habari.Tatizo ni kwamba waamuzi wa Uingereza wana makosa mengi sana hasa hivi karibuni.
 
Hapana....kama kuna kitu ambacho football world akiwemo FIFA hapapendi ni kuhusisha politics na mpira.
Mkuu watu humu wanabwabwaja tu bila hata kuelewa,.Halafu hizi habari zipo kitambo sana kwamba waamuzi wa uingereza hawatakuwepo WC,Toka feb watu wanajua,kabla hata ya huu mvutano wanaodai.
 
Mkuu ishu kubwa ni mahusiano ya kidiplomasia kati ya Russia na UK kuwa mabaya miezi ya hivi karibu ambapo imepelekea hadi kufukuzwa kwa wanadiplomasia wa uingereza nchini Russia na hata balozi wao alishatimuliwa tayari
Hujui lolote acha kudanganya watu,Kila kitu mnahusianisha na ujinga wa siasa tu.Toka Lini FIFA ikwa influenced na siasa?.ficha ujinga wako kidogo
 
Haihusiani na ishu ya Wenger na waamuzi bali masuala ya kisiasa zaidi hasa contradition btn UK and Russia particulally kifo cha Jasusi wa Russia kuuawa na UK
Hujui kitu,acha kudanganya watu.Haya mabo yapo wazi toka hata huu mutano haujaanza,na maamuzi yamefanywa na FIFA siyo UK wala Russia.Ficha ujinga wako
 
Hujui lolote acha kudanganya watu,Kila kitu mnahusianisha na ujinga wa siasa tu.Toka Lini FIFA ikwa influenced na siasa?.ficha ujinga wako kidogo
Mkuu huu ni mjadala, changia kistaarabu
 
Eti yule Mike Dean nae ni refarii, Spurs wakishinda anashangilia kabisa wakati yeye ndo mwamuzi
 
Wengi walipata adhabu kutokana na maamuzi yasiyotukuka hivyo FIFA wameamua kucheza nao mbali wote.
Kuna wajinga wajinga humu wanahusianisha na ujinga wao wa siasa.
 
Mabishano ha kisiasa pia uingereza wanafikiria ama kutoruhusu mashabiki kwenda urus na ikiwezekana wanaweza kujitoa kombe la dunia la urus
Wakijitoa stars.tunaenda kwa niaba yao na tunabeba ndoo asubuhi tu
 
Back
Top Bottom