XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,231
- 2,778
Wakijitoa wafungiwe na FIFAMabishano ha kisiasa pia uingereza wanafikiria ama kutoruhusu mashabiki kwenda urus na ikiwezekana wanaweza kujitoa kombe la dunia la urus
Wakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.
Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini?
Mabishano ha kisiasa pia uingereza wanafikiria ama kutoruhusu mashabiki kwenda urus na ikiwezekana wanaweza kujitoa kombe la dunia la urus
EPL USWAHILI MWINGI MNO
Sababu imeelezwa hapa: Fifa confirms no British referees will take part at Russia World CupWakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.
Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini?
Mkuu ishu kubwa ni mahusiano ya kidiplomasia kati ya Russia na UK kuwa mabaya miezi ya hivi karibu ambapo imepelekea hadi kufukuzwa kwa wanadiplomasia wa uingereza nchini Russia na hata balozi wao alishatimuliwa tayariHii issue mzee wenger aliwahi kuiongelea , akiwapondea marefa wa EPL kuua quality yao ni ndogo ndo maana FIFA haitawachagua. Naona yametimia.
Russia hawafanyi maamuzi ya marefa. FIFA ndiyo inapanga.Mkuu ishu kubwa ni mahusiano ya kidiplomasia kati ya Russia na UK kuwa mabaya miezi ya hivi karibu ambapo imepelekea hadi kufukuzwa kwa wanadiplomasia wa uingereza nchini Russia na hata balozi wao alishatimuliwa tayari
Hapana....kama kuna kitu ambacho football world akiwemo FIFA hapapendi ni kuhusisha politics na mpira.Mkuu ishu kubwa ni mahusiano ya kidiplomasia kati ya Russia na UK kuwa mabaya miezi ya hivi karibu ambapo imepelekea hadi kufukuzwa kwa wanadiplomasia wa uingereza nchini Russia na hata balozi wao alishatimuliwa tayari
Ungekua unafwatilia mambo ya msingi hasa yanayotokea huko majuu usingeuliza swali la kizembe kama hili!!Wakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.
Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini?