English au Engrish?Uingeleza[emoji51]
Haihusiani na ishu ya Wenger na waamuzi bali masuala ya kisiasa zaidi hasa contradition btn UK and Russia particulally kifo cha Jasusi wa Russia kuuawa na UKHii issue mzee wenger aliwahi kuiongelea , akiwapondea marefa wa EPL kuua quality yao ni ndogo ndo maana FIFA haitawachagua. Naona yametimia.
Kwani kafa ?Haihusiani na ishu ya Wenger na waamuzi bali masuala ya kisiasa zaidi hasa contradition btn UK and Russia particulally kifo cha Jasusi wa Russia kuuawa na UK
FIFA hairuhusu kuingiza siasa kwenye mpiraHaihusiani na ishu ya Wenger na waamuzi bali masuala ya kisiasa zaidi hasa contradition btn UK and Russia particulally kifo cha Jasusi wa Russia kuuawa na UK
Haihusiani na ishu ya Wenger na waamuzi bali masuala ya kisiasa zaidi hasa contradition btn UK and Russia particulally kifo cha Jasusi wa Russia kuuawa na UK
Watz wanapenda conspiracy theory kuliko facts hata uelimishe vp wala usishangaeAisee watu humu ni vichwa ngumu balaa. Mara mbili nimeweka link inayoelezea kwanini UK haina uwakilishi katika marefa katika 2018 WC. Lakini bado watu wanakuja na maelezo ya uongo tu.
Sababu ni kwamba refa pekee wa UK aliyekuwa kwenye pool ya marefa wenye uwezekano wa kwenda Russia, alistaafu urefa. FA waliomba wam-replace na refa mwingine, FIFA ikakataa. Hivyo kwenye pool kukawa hakuna refa kutoka UK. Hii ndiyo sababu.
Yaani, taifa hili linahitaji kweli MABADILIKO, haswa kwenye mfumo wetu wa elimu. Watu wanaongea as if Russia ndiye anayechagua marefa!! Na kama alivyosema mdau mmoja hapa, katika suala ambalo FIFA siku zote hawawezi kujiingiza, ni suala la siasa za nchi wanachama.Watz wanapenda conspiracy theory kuliko facts hata uelimishe vp wala usishangae
Hicho kitu ni ndoto hakuna pesa bila hawa jamaa ndiyo maana wanawekwa makundi mchekea ili wafaulu kwenda EURO ama World CupWakijitoa wafungiwe na FIFA
FIFA haitambui siasa hizo. Marefa wa EPL wana maamuzi tatanishi.Mifano ipo.Jiongeze mkuu hv Sasa uhusiano wa Urus na uingereza Ni mbaya Sana
N kwel marefa wa England n hovyo lkn pia waliangalia Hali ya Siasa. Siasa haikwepek kwenye soccerFIFA haitambui siasa hizo. Marefa wa EPL wana maamuzi tatanishi.Mifano ipo.
Angalia mechi ya Leo (30/03"2018) Liverpool vs Crystal palace. Penati ya CP. ya kipa haikupaswa kuwa penati. It was duo collition hatari sana.
Kosa la mane kushika mpira makusudi alistahili second yellow then red.
Controversial decision.