Wakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.
Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini?
tz weka picha tu maelezo wataweka waoYaani, taifa hili linahitaji kweli MABADILIKO, haswa kwenye mfumo wetu wa elimu. Watu wanaongea as if Russia ndiye anayechagua marefa!! Na kama alivyosema mdau mmoja hapa, katika suala ambalo FIFA siku zote hawawezi kujiingiza, ni suala la siasa za nchi wanachama.
unajua kwanini wanataka kujitoa au unaropoka tuWakijitoa wafungiwe na FIFA
Aisee watu humu ni vichwa ngumu balaa. Mara mbili nimeweka link inayoelezea kwanini UK haina uwakilishi katika marefa katika 2018 WC. Lakini bado watu wanakuja na maelezo ya uongo tu.
Sababu ni kwamba refa pekee wa UK aliyekuwa kwenye pool ya marefa wenye uwezekano wa kwenda Russia, alistaafu urefa. FA waliomba wam-replace na refa mwingine, FIFA ikakataa. Hivyo kwenye pool kukawa hakuna refa kutoka UK. Hii ndiyo sababu.
hainingii akilini kabisa labda wakizuia na timu isishiriki ndo ntaelewaUngekua unafwatilia mambo ya msingi hasa yanayotokea huko majuu usingeuliza swali la kizembe kama hili!!
Unajua nini kinaendelea kati ya russia na uingereza?
Hili ndo jibu halisiNafikiri FIFA wamejiongeza tu kutokana na hali ya sintofahamu baina ya UK na Urusi imebidi warahisishe kazi kuliko kuwateua halafu baadae mkaambiwe watu wetu hawatashiriki
Sijaelewa ulichoandika. Kuna links niliziweka zikielezea sababu za UK kutokuwa na refa WC 2018. Hayo mengine sijaelewa.Si ungeeleza pia kama unayajua kuhusu muda wa training nao ulishayoyoma.. na aliyekuwa amechaguliwa alienda.. vipi na Singapore imeingiaje eti?
Labda huwa husomi habari,huu mchakato wa kuchagua marefaree wa WC wala haujaanza leo,tokea mwezi wa 3 mwanzoni kulikuwa na habari za uhakika kabisa kwamba waamuzi wa uingereza wengi FIFA imeshindwa kuwapitisha majina yao sababu wana makosa mengi sana uwanjani.Hii issue wala haihusiani na Huu mvutano wa UK na Urusi,kwanza jua kabisa FIFA haifungamani na mambo yz kisiasa hata siku moja,hivyo hawawezi kufanya maamuzi kwa influence za kisiasa.Nafikiri FIFA wamejiongeza tu kutokana na hali ya sintofahamu baina ya UK na Urusi imebidi warahisishe kazi kuliko kuwateua halafu baadae mkaambiwe watu wetu hawatashiriki
FIFA haifungamani na siasa hata siku moja.Na hizi habari za kutokuwezpo kwa waamuzi wa Uingereza zimesikika hata kabla ya hu mvutano,labda hufuatilii habari.Tatizo ni kwamba waamuzi wa Uingereza wana makosa mengi sana hasa hivi karibuni.Hili ndo jibu halisi
Mkuu watu humu wanabwabwaja tu bila hata kuelewa,.Halafu hizi habari zipo kitambo sana kwamba waamuzi wa uingereza hawatakuwepo WC,Toka feb watu wanajua,kabla hata ya huu mvutano wanaodai.Hapana....kama kuna kitu ambacho football world akiwemo FIFA hapapendi ni kuhusisha politics na mpira.
Hujui lolote acha kudanganya watu,Kila kitu mnahusianisha na ujinga wa siasa tu.Toka Lini FIFA ikwa influenced na siasa?.ficha ujinga wako kidogoMkuu ishu kubwa ni mahusiano ya kidiplomasia kati ya Russia na UK kuwa mabaya miezi ya hivi karibu ambapo imepelekea hadi kufukuzwa kwa wanadiplomasia wa uingereza nchini Russia na hata balozi wao alishatimuliwa tayari
Hujui kitu,acha kudanganya watu.Haya mabo yapo wazi toka hata huu mutano haujaanza,na maamuzi yamefanywa na FIFA siyo UK wala Russia.Ficha ujinga wakoHaihusiani na ishu ya Wenger na waamuzi bali masuala ya kisiasa zaidi hasa contradition btn UK and Russia particulally kifo cha Jasusi wa Russia kuuawa na UK
Mkuu huu ni mjadala, changia kistaarabuHujui lolote acha kudanganya watu,Kila kitu mnahusianisha na ujinga wa siasa tu.Toka Lini FIFA ikwa influenced na siasa?.ficha ujinga wako kidogo
Kuna wajinga wajinga humu wanahusianisha na ujinga wao wa siasa.Wengi walipata adhabu kutokana na maamuzi yasiyotukuka hivyo FIFA wameamua kucheza nao mbali wote.
Toka lini ulishaona FIFA wakifanya maamuzi kwa influence za kisiasa?.Mkuu huu ni mjadala, changia kistaarabu
Wakijitoa stars.tunaenda kwa niaba yao na tunabeba ndoo asubuhi tuMabishano ha kisiasa pia uingereza wanafikiria ama kutoruhusu mashabiki kwenda urus na ikiwezekana wanaweza kujitoa kombe la dunia la urus