Gef JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 500 Reaction score 433 Apr 11, 2018 #61 XaviMessIniesta said: Wakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja. Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini? Click to expand... Ubora wa ligi haumaanish ubora wa waamuzi.... sawa hakun waamuz vilaza dunian kama England bora Burundi
XaviMessIniesta said: Wakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja. Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata mmoja kwamba hawaaminiki au ni nini? Click to expand... Ubora wa ligi haumaanish ubora wa waamuzi.... sawa hakun waamuz vilaza dunian kama England bora Burundi