bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga?[emoji38]
Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani?
Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu, kukupenda mbwa wewe halafu kutwa gesti na wasichana za watu. Hutulii
Tulia maisha haya ni yakuwa na maamuzi yenye busara.
Hivi mnakosaga Nini? Semeni?
Unasambaza upendo tu, Amri kuu ni Upendo