Inakuwaje umeoa halafu unamwambia mwanamke mwingine "I love you?"

Inakuwaje umeoa halafu unamwambia mwanamke mwingine "I love you?"

Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga?😆

Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani?
Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu, kukupenda mbwa wewe halafu kutwa gesti na wasichana za watu. Hutulii

View attachment 2509400

Tulia maisha haya ni yakuwa na maamuzi yenye busara.

Hivi mnakosaga Nini? Semeni?
na inakuwaje unakula mgahawani wakati kwako umeacha kodi ya meza
 
Back
Top Bottom