Inakuwaje umeoa halafu unamwambia mwanamke mwingine "I love you?"


Unasambaza upendo tu, Amri kuu ni Upendo
 
Wengine wanakuwaga wanajifunza English course 😂😂😂hwamaanishi my wangu
Ila umepotea
 
Kwa kifupi ukila chakula ukashiba haimaanishi NDIO umeshiba milele
Utakula tena baadae.......
Pia vyakula vipo vya Kila aina na mapishi mbali mbali.....
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
Kwa kifupi ukila chakula ukashiba haimaanishi NDIO umeshiba milele
Utakula tena baadae.......
Pia vyakula vipo vya Kila aina na mapishi mbali mbali.....
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
Umeongea kiutuuzima sana😂😂😂
 
Wanaendeshwa akili za chini wanaume.
 
Kufanya hivyo ni kama tu hatutaki kuwashusha thamani zenu,,tunahitaji mjione kuwa mnapendwa ili muwe mnaviachia tu.
 
Mbona makasiriko mkuu??
 
Iko hivi wanaume huwa mnatuvuruga sana kwenye ndoa
 
Zamani nilikuaga nashangaa watu wenye hizo tabia, ila saivi mimi ndio muhusika mkuu
 
Kwani ukiambiwa I LOVE YOU kuna shida gani? Kwa LOVE limit yake ni mmoja tu?
Upendo wa agape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…