homeboy 255
New Member
- Jul 9, 2024
- 3
- 1
Naona wewe ni mgeni hapa galilayaViwanja vya Mradi wa Mvuti, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, viliwekwa kwenye mfumo vikiwa katika hali ya Preview, lakini mara tu vilipoanza kupatikana (Available), vilibadilika moja kwa moja na kuwa Sold Out.
Hili limekaaje, wakuu? Kuna michezo gani inaendelea nyuma ya pazia? Wanachofanya ni kuweka tausi kama galasha!
hii ndo tanzania sasaViwanja vya Mradi wa Mvuti, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, viliwekwa kwenye mfumo vikiwa katika hali ya Preview, lakini mara tu vilipoanza kupatikana (Available), vilibadilika moja kwa moja na kuwa Sold Out.
Hili limekaaje, wakuu? Kuna michezo gani inaendelea nyuma ya pazia? Wanachofanya ni kuweka tausi kama galasha!