Inamaana mtihani uliovuja ni wa Tax management officer ii pekee?

Inamaana mtihani uliovuja ni wa Tax management officer ii pekee?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,511
Reaction score
4,369
Watu wanalalamika kuwa paper imevuja,but ukiuliza ipi iliyovuja wanakuambia ni TMO ii pekee,vipi hizo zingine nazo zilizofanyika mbona hatusikii zikilalamikiwa?,
Matokeo ya hiyo paper inayolalqmikiwa kuvuja yatawashangaza wengi.
 
Sababu ni hizi:

1. TMO ndio ilikuwa na nafasi nyingi na watu wengi hivyo effect yake ni kubwa kwa sababu ya wingi wa watu na nafasi inakuwa ni rahisi kutengeneza mazingira ya connection na hivyo rushwa

2. Kuvuja kwa mtihani haimaanishi kwamba kila mtu atafaulu, kama mtu hakubahatika kuuona kama alitegemea kufaulu kwa kuvujishiwa mtihani hatofaulu. Hivyo inawezekana wengi wakafeli pia
 
Ikiwa kama ni kweli ulivuja ,, kama aliyevujishiwa mtihani hakukariri herufi za majibu au T & F badala yake alikariri maswali na majibu kuna posibility kubwa ya yeye kufaulu na ikiwa kama alikariri herufi za majibu kuna posibility kubwa ya yeye kufeli maana maswali yalikua yamechanganywa changanywa sana namba kwa ninavyosikia
 
Sababu ni hizi:

1. TMO ndio ilikuwa na nafasi nyingi na watu wengi hivyo effect yake ni kubwa kwa sababu ya wingi wa watu na nafasi inakuwa ni rahisi kutengeneza mazingira ya connection na hivyo rushwa

2. Kuvuja kwa mtihani haimaanishi kwamba kila mtu atafaulu, kama mtu hakubahatika kuuona kama alitegemea kufaulu kwa kuvujishiwa mtihani hatofaulu. Hivyo inawezekana wengi wakafeli pia
Namba mbili umeandika ujinga
 
Kuna mtu nimeongea naye anadai kuna madada ndiyo walipewa hiyo paper na wao wakaanza kuigawa............
 
Yani na mm nimeshangaa ivuje TMO pekee, hapa suala ni kua kuna watu wamepinda sana na inawezekana wameingia na sim wamepiga picha wakatafuta majibu AI wakatuma online ili kuwavuruga watu
 
Kila mwaka huwa zinavuja,ila matokeo yakitoka utasikia watu tena wanalalamika kuwa usahihishaji haukua fair.
 
Back
Top Bottom