kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Elimu za chupi ndio mwanzo wa kuvuka kwa mitihaniWatu wanalalamika kuwa paper imevuja,but ukiuliza ipi iliyovuja wanakuambia ni TMO ii pekee,vipi hizo zingine nazo zilizofanyika mbona hatusikii zikilalamikiwa?,
Matokeo ya hiyo paper inayolalqmikiwa kuvuja yatawashangaza wengi.
Namba mbili umeandika ujingaSababu ni hizi:
1. TMO ndio ilikuwa na nafasi nyingi na watu wengi hivyo effect yake ni kubwa kwa sababu ya wingi wa watu na nafasi inakuwa ni rahisi kutengeneza mazingira ya connection na hivyo rushwa
2. Kuvuja kwa mtihani haimaanishi kwamba kila mtu atafaulu, kama mtu hakubahatika kuuona kama alitegemea kufaulu kwa kuvujishiwa mtihani hatofaulu. Hivyo inawezekana wengi wakafeli pia
Anatetea ujinga...Namba mbili umeandika ujinga
Mapinduzi huanzia kwa wadada.Kuna mtu nimeongea naye anadai kuna madada ndiyo walipewa hiyo paper na wao wakaanza kuigawa............
Kabisa.afisa alishapewa kitumbua akachia pepa.Mapinduzi huanzia kwa wadada.