Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Unless kama nimeshakugaia!!
Hehehehe hata kumendea tu huoni Mr. wa Nyamayao alivyo taka kumfumua mtu ndani ya supermarket.
Ingekuwa enzi za UKIMWI free Fidel kaka yangu wala usingesikia hivi vilio vya mara kwa mara.
Unakumbuka kanisani ulikula kiapo kuwa mtakuwa pamoja na kushikamana kama kumbikumbi kwa shida na raha hili la ukimwi ni moja ya ajali katika maisha si kanakwamba Mr. ndo alitaka kuupata huo ukimwi katika pita pita zake akapata ajali kwa hiyo lazima uendelee kumpenda tu lasivyo utakuwa unamkiuka Mungu na maandiko yake.
lijirudi wakati limeshakupa ukimwi?????
aaaah men are just men bana!!!
Sasa utamtosa? Mnatupenda tukiwa wazima sio???
Na wewe unaelekea huko huko kwenye ndoa haya utakuja kuyasikia pindi utakapo chuja.