Inamaanisha nini?

Unless kama nimeshakugaia!!

Hehehehe hata kumendea tu huoni Mr. wa Nyamayao alivyo taka kumfumua mtu ndani ya supermarket.

Ingekuwa enzi za UKIMWI free Fidel kaka yangu wala usingesikia hivi vilio vya mara kwa mara.

Unakumbuka kanisani ulikula kiapo kuwa mtakuwa pamoja na kushikamana kama kumbikumbi kwa shida na raha hili la ukimwi ni moja ya ajali katika maisha si kanakwamba Mr. ndo alitaka kuupata huo ukimwi katika pita pita zake akapata ajali kwa hiyo lazima uendelee kumpenda tu lasivyo utakuwa unamkiuka Mungu na maandiko yake.
lijirudi wakati limeshakupa ukimwi?????
aaaah men are just men bana!!!

Sasa utamtosa? Mnatupenda tukiwa wazima sio???
Na wewe unaelekea huko huko kwenye ndoa haya utakuja kuyasikia pindi utakapo chuja.
 
Fidel ingekuwa hivyo kusingekuwa na kile kiapo kisemacho...Utampenda na kushikamana na huyu peke yake na kuachana na wengine.... na nafikiri kama wanandoa ni wajibu wetu kulindana pale inapobidi. Sidhani kama wanawake wangekuwa wanafanya hivyo ungewezasema hayo mpenzi wangu!
 
lijirudi wakati limeshakupa ukimwi?????

aaaah men are just men bana!!! Wameumbwa watutawale. Wanawake tunalazimika kukubali hili!!!

Thats My Mamushka! Umekula Senksi fo zis yuziful posti!
 
You can say that AGAIN sisy
 
Thats My Mamushka! Umekula Senksi fo zis yuziful posti!

biggy ume-edit lakini jamani
anyway mi siumizwi kichwa na nyie viumbe kwa kweli
maisha tambarareeeee
 
biggy ume-edit lakini jamani
anyway mi siumizwi kichwa na nyie viumbe kwa kweli
maisha tambarareeeee

Hahaha! Chief Editor on duty!! Na kichwa kikikuuma tunakupa panadol sisi wenyewe!
 
biggy ume-edit lakini jamani
anyway mi siumizwi kichwa na nyie viumbe kwa kweli
maisha tambarareeeee

bht you are very lucky mamii kuna wengine wamebahatika kuwa na wale ambao zipu zao 24/7 ziko wazi yaani unakuta mmama analazimika kumkodia Security Guard utafikiri dereva wa gari la mishahara - sasa mtu wa hivi umwambie eti asimmind mumewe hatakuelewa especially akikumbuka kuna UKIMWI na yeye familia bado changa!!

Kasema ukweli WoS- Kuwa mwanamke kazi!
 
Hahaha! Chief Editor on duty!! Na kichwa kikikuuma tunakupa panadol sisi wenyewe!

sikuhizi baada ya kuvua mapendo ya longolongo hata kichwa hakiumi biggy....
can u even recall the last time I asked you to buy me a panadol???? ...NO!!!

dawa ku-ignore tu!!!
 
Aksante Ama nitafanya kama ulivyonishauri. Hivi inawezekana jamaa (shem) anamega ?? Maana mbona kareact kihivyo??

OH maimai hapo reaction inaonesha wazi kua kidume ashadandia. kitendo cha kuulizwa akajua mkewe ashang'amua.ili kujilinda akawa mkali.bi dada ana bahati hakutandikwa makofi manake wanaume dizain hiyo hachelewi kurusha ngumi ili aonekane hana hatia.

pole mdada kacheki afya yako then utafte namna ya kujipanga poa
 
Mwambie huyo rafiki yako huo ni umbea, na wanaume hawapendi umbea, ndio maana jamaa akawa mkali! πŸ™‚

Halafu maswali mengine ya kizushi kweli, kashamuharibia siku mumewe hapo! Halafu anakimbilia kulia! πŸ™‚ Imeandikwa: '' Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe!''.
 
Aksante Kisasangwe

Nimeipenda signature yako.
 
Halafu maswali mengine ya kizushi kweli, kashamuharibia siku mumewe hapo! Halafu anakimbilia kulia! πŸ™‚ Imeandikwa: '' Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe!''.

Hahahaha dah mkuu hii ndo quote yangu ya leo dah imekaa vizuri sana. Na umenena ukweli mtupu.
 
Nina amini kabisa hii umeiandika kwa sababu tu umejisikia kuandika masaki!!
AAlijuaje pengine alitaka kuujua kama yupo kwa masuala ya kiofisi!! Mume alitakiwa kwanza ajibu ndio au hapana then reaction itakayofuata hapo asingelaumiwa!!
 
kwanini nijifanye mjinga? cwezi.
 
Nina amini kabisa hii umeiandika kwa sababu tu umejisikia kuandika masaki!!
AAlijuaje pengine alitaka kuujua kama yupo kwa masuala ya kiofisi!! Mume alitakiwa kwanza ajibu ndio au hapana then reaction itakayofuata hapo asingelaumiwa!!

Huwezi kujua, usikute hata huko ofisini kashazushiwa kwamba anammega huyo dada, na ni kitu kinachomkera sana. Sasa akahisi kwamba huo umbea umeshamfikia mpaka mkewe na mkewe kakurupuka kuudakia!

Halafu maswali gani hayo ya kuulizana asubuhi asubuhi? Kwanini asingetafuta muda muafaka?
 
sikuhizi baada ya kuvua mapendo ya longolongo hata kichwa hakiumi biggy....
can u even recall the last time I asked you to buy me a panadol???? ...NO!!!

dawa ku-ignore tu!!!

Hata sikumbuki nilinunua bei gani mara ya mwisho!
Dawa yako nilishaijulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…