Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Ni kweli Diamond anawaiga Wa Nigeria kuanzia midundo mpaka kuimba anatumia sana pidgin English yao.Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya.
Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona mtanzania mwenzangu, mpambanaji mwenzangu na kijana mwenzangu anasemwa na kutukanwa roho inauma sana.
Diamond Platnumz wanamshtaki sana kwa kuiga sana nyimbo za wa Nigeria na hata kuiga dressing style za wasanii wao.
Kama ndo hivyo bac mlio karibu naye mshaurini bac aachane na hayo mambo.
Yaan ukisoma vitu vingine vinavyoandikwa kweny hizo page ni aibu sana kwa msanii mkubwa kama Diamond.
Hata wasanii wa Nigeria nao nimewaona wengi tu wakiwaiga Wamarekani weusi.Ni kweli Diamond anawaiga Wa Nigeria kuanzia midundo mpaka kuimba anatumia sana pidgin English yao.
Na huu inaonekana ni mkakati wa kibiashara, kwa kuangalia market iliyopo Nigeria. Nigeria ina watu angalau milioni 215, that is a big market. Hiyo population ni sawa na kujumlisha Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia pamoja.
Kwa mfano anapoimba "You dey make me sing...". That is Nigerian /West African pidgin English. Huku Tanzania hatuongei hivyo, tunaongea Kiswahili na tukiongea Kiingereza hatutumii pidgin English.
Ila, binafsi, naona kuwa sanaa inahusisha kuchanganya vionjo mbalimbali vya sehemu mbalimbali, na mtu asihukumiwe kwa kutohoa vionjo vya sehemu nyingine, bali ahukumiwe kwa kuangalia kama sanaa yake ni nzuri au si nzuri.
Hivi Wajamaica wangesema reggae ni muziki wao, mtu mwingine asiye Mjamaica asipige wala kuimba reggae, reggae ingekuwa wapi leo? Tungekuwa na kina Lucky Dube, Alpha Blondy, Albarosie, Collie Buddz, Jah Kimbuteh etc?
Katika wimbo wa "Aje" wa Ali Kiba na Rapper M.O wa Nigeria, M.O anaongelea jinsi alivyochanganywa na wanawake wa Kitanzania mpaka anajifunza Kiswahili kusema "Sawasawa" na "Mambo Vipi". Mimi nilichukulia mistari hiyo vizuri kwamba huyu msanii wa Nigeria anachukua interest Tanzania na kwenye Kiswahili. Sikuona anaibia Watanzania lugha yao.
Rapper Guru wa kundi maarufu la Hip Hop Gangstarr ali rap katika wimbo "Don't Take it Personal" kuhusu habari za wasanii kuibiana muziki, akasema;
"Rap is an art, you can't own no loops
It's how you hook 'em up and the rhyme style, troop
So don't even think you could say someone bit
Off of your weak beat, come on, you need to quit"
Umebonga fact sana mkuu.Ni kweli Diamond anawaiga Wa Nigeria kuanzia midundo mpaka kuimba anatumia sana pidgin English yao.
Na huu inaonekana ni mkakati wa kibiashara, kwa kuangalia market iliyopo Nigeria. Nigeria ina watu angalau milioni 215, that is a big market. Hiyo population ni sawa na kujumlisha Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan ya Kusini na Zambia pamoja.

Nishaweka mkuuBila screenshot huu uzi ni story za abunuwasi
Izo screenshots ulizoweka na uzi uliopost haviendani.!!πNishaweka mkuu
Wajuaji.comIzo screenshots ulizoweka na uzi uliopost haviendani.!!π
Useless
Kweli kabisa. Na inawezekana wao akina Asake na Burnaboy ndio wamemuiga Diamond wetu!Vitu vya kawaida hivyo ukiwa star
Na hapo asha make headlines
Sijasoma muda mrefu comment zako zilizo sheheni maarifa mengi hapa jukwaani ππ€ nakusalimia brother...........Ni kweli Diamond anawaiga Wa Nigeria kuanzia midundo mpaka kuimba anatumia sana pidgin English yao.
Na huu inaonekana ni mkakati wa kibiashara, kwa kuangalia market iliyopo Nigeria. Nigeria ina watu angalau milioni 215, that is a big market. Hiyo population ni sawa na kujumlisha Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan ya Kusini na Zambia pamoja.
Kwa mfano anapoimba "You dey make me sing...". That is Nigerian /West African pidgin English. Huku Tanzania hatuongei hivyo, tunaongea Kiswahili na tukiongea Kiingereza hatutumii pidgin English.
Ila, binafsi, naona kuwa sanaa inahusisha kuchanganya vionjo mbalimbali vya sehemu mbalimbali, na mtu asihukumiwe kwa kutohoa vionjo vya sehemu nyingine, bali ahukumiwe kwa kuangalia kama sanaa yake ni nzuri au si nzuri.
Hivi Wajamaica wangesema reggae ni muziki wao, mtu mwingine asiye Mjamaica asipige wala kuimba reggae, reggae ingekuwa wapi leo? Tungekuwa na kina Lucky Dube, Alpha Blondy, Albarosie, Collie Buddz, Jah Kimbuteh etc?
Katika wimbo wa "Aje" wa Ali Kiba na Rapper M.O wa Nigeria, M.O anaongelea jinsi alivyochanganywa na wanawake wa Kitanzania mpaka anajifunza Kiswahili kusema "Sawasawa" na "Mambo Vipi". Mimi nilichukulia mistari hiyo vizuri kwamba huyu msanii wa Nigeria anachukua interest Tanzania na kwenye Kiswahili. Sikuona anaibia Watanzania lugha yao.
Rapper Guru wa kundi maarufu la Hip Hop Gangstarr ali rap katika wimbo "Don't Take it Personal" kuhusu habari za wasanii kuibiana muziki, akasema;
"Rap is an art, you can't own no loops
It's how you hook 'em up and the rhyme style, troop
So don't even think you could say someone bit
Off of your weak beat, come on, you need to quit"
Salaam na shukurani nyingi sana kwa kunitambua mkuu.Sijasoma muda mrefu comment zako zilizo sheheni maarifa mengi hapa jukwaani ππ€ nakusalimia brother...........