Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ule wimbo wa 90s 'nitakujengea kajumba la ghorofa' nasikia melody zake kwenye huu wimbo mpya wa diamondKuna namna ya kukopi, unaweza kopi vingi vinakubalika lakini ukopiji kama ule wa kwenye ngoma gani sijui
anasema
"watakoma aisee, sijui nini nini nyama choma," sijui kitu gani.
Ule ni ukopiji mbovu kabisa, yaani kapita alipopita asake mule mule, unaweza fanya sampling na vinginevyo lakini si kama vile alivyofanya jamaa.
Roma anadai Kuna wimbo wa mondi unagongwa Sana WashingtonSimba la masimba dangote,
Wa naija wakimskia wanaogopa, ulewimbo wa my baby uli kaa wiki moja Trending kwenye chart za naija,sijambo dogo lazima wamuogope ,juzi hapo rwanda kwenye tuzo za davido alivyo muona simba kapagawa kamkimbilia alafu simba hata haja mpapatikia kivile, , huo ndoukubwa sasa bado kidogo Simba litaanza kusumbua hapo USA
Sijapata kuusikiliza huo wimbo mpya wa diamond, muziki siku hizi tunausikia kwa watu, migahawanj, kwenye magari(daladala, bolt) huko, ila kuweka muziki kabisa nisikilize mie mwenyewe, labda niwe nimemiss na huwa nasikiliza ngoma ambazo ni tayari, mfano leo nina hamu na kusikiliza NGAPULILA nikipata wasaa nitasikiliza, nisipopata wasaa utabaki kichwani nikiuimba imba tu.Kuna ule wimbo wa 90s 'nitakujengea kajumba la ghorofa' nasikia melody zake kwenye huu wimbo mpya wa diamond
Ngapulila ana hatariSijapata kuusikiliza huo wimbo mpya wa diamond, muziki siku hizi tunausikia kwa watu, migahawanj, kwenye magari(daladala, bolt) huko, ila kuweka muziki kabisa nisikilize mie mwenyewe, labda niwe nimemiss na huwa nasikiliza ngoma ambazo ni tayari, mfano leo nina hamu na kusikiliza NGAPULILA nikipata wasaa nitasikiliza, nisipopata wasaa utabaki kichwani nikiuimba imba tu.
Ngapulila ana hatari