labda unywe maziwa jirani?
Kwani mtaani wapya wanafundishwa kila kitu na wakongwe?
Hayatuhusu. Pelekea umbeya wako kwenye majukwaa mengine. siyo humu ndani. Kama huna cha kuandika, tulia kimya, nyamaza kabisa kabisa. Soma michango ya watu wengine. Unajiabisha tu hapa ndani.
Hayatuhusu. Pelekea umbeya wako kwenye majukwaa mengine. siyo humu ndani. Kama huna cha kuandika, tulia kimya, nyamaza kabisa kabisa. Soma michango ya watu wengine. Unajiabisha tu hapa ndani.
Hahahahahah! Natamani Sumu aje asome hii makitu na blackberry yake
We Mkali Mbona Haubadiriki?
Sasa Leo Nakuchana Live
Post Zako Zote Hazina Mashiko
Umaarufu Hautafutwi Kwa Styl Hizo Banah!
Narudia Tena...Unaboaaaaa.........!
Dawa ya moto ni moto. Kama unampenda na anakutafuta mkubalie ubinjuke kwa raha zako. Hakikisha mpaka mkewe anajua ili ampige chini. Akishapigwa chini na mkewe nawe unampiga chini.
Nlishamfanyiaga shori mmoja enzi hizo aliponifanyia unaa kama huu.
Pole sana. Usizijibu emails zake wala usipokee simu yake. Songa mbele, utapona tu muda ukienda.
Sasa wewe umeona ameandika kitu gani cha maana pale. Haya mambo ya kutosana katika maisha mbona ni ya kawaida sana!!! Ngoja nikupe TRUE STORY. Mama yake na babu yangu aliolewa na wanaume wanne. Wanaume watatu walimtosa. Na ujue babu yangu alizaliwa mwaka 1905. Sasa mama yake alizaliwa lini? Chukulia 1890. Kwa kifupi, hata miaka ya 1800 watu walikuwa wanatosana sembuse leo hii, karne ya 21!!
Haiwezekani Post Inayoeleweka kwako wewe Unacomenti Vumbi Tu!
Ubadirike ma niga!
Mkuu Asprin, it seems like hiyo ni private issue baina yenu so ungemPM ingekuwa jambo jema zaidi. Jaribu kufikiria kila mtu aanze kuongea na mwenzie kuhusu private issues zao kwenye hii thread itakuwaje?
It's so irritating wakati ambapo mtu anamatatizo anaomba ushauri, anapitia asome ushauri anakuta watu wanaongea mambo ambayo hayahusiani. Inamaana hii thread isingeazishwa usingemuulizia hiyo miadi yenu?
Nyie wakongwe ndiyo mnaotakiwa mtufundishe sisi wageni jinsi ya kuBehave humu ili tujifunze kutoka kwenu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hayatuhusu. Pelekea umbeya wako kwenye majukwaa mengine. siyo humu ndani. Kama huna cha kuandika, tulia kimya, nyamaza kabisa kabisa. Soma michango ya watu wengine. Unajiabisha tu hapa ndani.
Bwana mdogo kazi na dawa. Hivi unafikiri watu wote msibani wakilia itakuwaje?
Sasa wewe unataka wawe wanaleta maada za namna gani, huwezijua kama mtu anapopata ushauri na mawazo ya aina mbali mbali anaponyeka?Kaka, nilichoandika pale ni kuwa hatupendi kuona hizi private issues zinajaa kwenye jukwaa letu. Lazima tuzikemee kwa nguvu zote. Haya mambo ya kutosana hayajaanza leo. Yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Hata mimi nilishatosa kama watatu hivi--wengine waliniboa sana mpaka leo hii ninapoandika hapa. Mbona sijaleta mada kama hiyo hapa ndani?