Hypotheis yangu ni hii:jamaa anampenda sana huyo aliyemuoa. Wewe ulikuwa ni puching bag baada ya yeye kuumizwa na huyo aliyeolewa. Hakupendi,alikiwa anajisahaulisha matatizo yake tu hapo kwako.
On the other hand,aliyeolewa ni opportunist. Anaangalia maslahi zaidi. Kwahiyo basi, jamaa(au ****??) baada ya kuona mambo yamekaa kwenye mstari kiaina(kwa juhudi zako wewe uliyeachwa solemba) akarudi tena kwa kipenzi chake(japo yeye hapendwi kwa dhati huko). Amekubalika: mkono wake si mtupu tena,kipo cha kulambwa!Usishangae alitaka kurudi tena kwako,for obvious reasons.
Kifupi mama;umetumiwa. Pengine mapenzi yako yalikutia upofu. Hili ndio somo sasa. Kuingia jumla si mambo pia.
Sasa basi,mawili:
1.Mwombee njaa jamaa ili arudi kulekule ulikomkuta.Hii ni pamoja na kulipiza kisasi kama walivyoshauri wadau wengine(kwa namna mbalimbali).
2. Chapa mwendo. Usijibu chochote: sio email,simu,sms...tulia kwanza.You are likely to behave in the same way he did if you allow yourself to 'fall' into some one else in the near future.
Pole sana. Shit happens. Jitahidi kadiri uwezavyo(inawezekana,unaweza kumsahau.MSAHAU),kumsahau. Songa mbele,there is a heart to match yours somewhere......only time will tell.
La kwanza halina tija: hakupendi so there is no point kwa yeye kurudi tena kwako. You need and deserve true love smart lady.Its coming...