Cha ajabu na cha kushangaza ni kwamba ameoa lakini kila siku ananipigia simu na kunitumia e mail.Kwa kweli inanikera sana.Nimebadilisha line lakini wapi.Sijui aliipata wapi line yangu mpya.Nimfanyaje?
Kaka, nilichoandika pale ni kuwa hatupendi kuona hizi private issues zinajaa kwenye jukwaa letu. Lazima tuzikemee kwa nguvu zote. Haya mambo ya kutosana hayajaanza leo. Yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Hata mimi nilishatosa kama watatu hivi--wengine waliniboa sana mpaka leo hii ninapoandika hapa. Mbona sijaleta mada kama hiyo hapa ndani?
Dawa ya moto ni moto. Kama unampenda na anakutafuta mkubalie ubinjuke kwa raha zako. Hakikisha mpaka mkewe anajua ili ampige chini. Akishapigwa chini na mkewe nawe unampiga chini.
Nlishamfanyiaga shori mmoja enzi hizo aliponifanyia unaa kama huu.