Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,485
Cha ajabu na cha kushangaza ni kwamba ameoa lakini kila siku ananipigia simu na kunitumia e mail.Kwa kweli inanikera sana.Nimebadilisha line lakini wapi.Sijui aliipata wapi line yangu mpya.Nimfanyaje?
Wewe ni mwanamke wa outing tu.
Huna hadhi ya kuwa MKE.
Kaa;
Tafakari;
Chukua hatua sahihhi.
Bazazi!
Tafakari;
Chukua hatua sahihhi.
Bazazi!