Inaniuma!

Inaniuma!

pole sana mi nadhani ujitahidi kusahau yaliopita na ujipiganie maisha yako hayo mengine yatakuja tu.
Pia unapokuwa na urafiki na mtu yeyote usipende kulazimisha kuolewa kwani mwishowe utabaki kuumia tu, kwani wanaume wengi watajileta kwako watakugegeda mwishowe wanasepa
 
Time is the best medicine, jipe muda utasahau tu na maisha yataendelea
 
Daaaaaah! Naona ndo umeanza na mkwara kabisa wa kuniita "Bwana mdogo". Tatizo baba alichelewa kuninunulia PC ndo maana nilichelewa kujiunga JF. Sawa bwana mkubwa, nimekuelewa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums


Sorry mkuu, ila sehemu yoyote ile ladha tofauti muhimu sana.
 
Mhhhh! Kongosho ni aje?...Pole sana binti piga konde moyo uendelee na maisha yako kata mawasiliano kabisa na huyu mtu asiye na shukrani na mapenzi ya kweli.

kama wewe ni fulani, nakumbuka ulivyoumia hadi kwenda Ghana kuombewa, pole sana kama ni wewe.

Ila usiwe 'desparate' na ndoa, watakugonga tu.

Pole
 
Yalishanikuta ila najitahidi kusahau nawe JARIBU..
Ila kweli ni very stubborn,,nilibadilisha line hadi nikachoka ni Ukimya ndo uliniokoa
::
Jaribu ukimya,kwani SILENCE IS THE TRUE FRIEND THAT NEVER BETRAY
=
 
Dawa ya moto ni moto. Kama unampenda na anakutafuta mkubalie ubinjuke kwa raha zako. Hakikisha mpaka mkewe anajua ili ampige chini. Akishapigwa chini na mkewe nawe unampiga chini.

Nlishamfanyiaga shori mmoja enzi hizo aliponifanyia unaa kama huu.
mwanawane unajueje kama mkewe akijua atampiga chini mumewe? we unamtafutia mabalaaa mtoto wa watu apigwe nakozi na mwanamke mwenzake.....by the way wakipigana naomba mnishitue napenda kichizi ngumi za mashosti
 
Wewe si unajifanya smart lady hadi kwenye jina utajuta wakati mwingi chezea midume
 
Yani nimemeliza tu kusoma thread, nkajisemea naomba mwanamalundi asiione utazidi kuwa dissapointed he he he
kumbe kishapita ha ha ha!!!!!!!
 
"when u love some one don't expect something in return" that absolute true!!
 
Du wanaume hawasomeki mtu wangu,,,,natamani kungekua na kifaa cha kupima mawazo ya mtu
 
Haaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaa basi hunishindi mimi,nimekumisije?nikumbushe basi miadi gani?afu vp umeshampigia kura miss chitchat wa mwaka huu???
 
achana naye ki.t.o.mbi tu huyo...hata aloolewa asidhani kapata, bali kapatikana!!!

Hapa ndipo wanawake mnapojidanganya. Hivi unadhani kuna mwanaume asiye kitomb.i? Tumetofautiana kwenye speed lakini wanaume wote mwalimu wetu mmoja. Unaweza ruka mkojo ukakanyaga uhar.o!

Mshauri mwenzio awe mvumilivu na atuelewe wanaume. Cha msingi ili usife kwa mapresha, usimfuatilie mwanaume.
 
mwanawane unajueje kama mkewe akijua atampiga chini mumewe? we unamtafutia mabalaaa mtoto wa watu apigwe nakozi na mwanamke mwenzake.....by the way wakipigana naomba mnishitue napenda kichizi ngumi za mashosti

Mwanawane, asipompiga chini si ndio inakuwa bomba? Wanakuwa wanajisevia mshedede kwa zamu. Raha anajipa mwenyewe bana!
 
Hilo nalo neno dada Penelope.Tena wanaume kama akina Asprin ndo hawapimiki kabisaaaaaaaaaa.

Si bora sie tunaosema ukweli kuliko midume mingine inayojifanya mitakatifu kumbe ni mitakavitu. Ile ikikosa inabaka mpaka mbuzi mbele na nyuma (sorry kumbe mbuzi ni juu na chini lol)

Haya twende PM ukajibu tuhuma za kunipotezea ilhali tulishawekeana miadi.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kuamini thread yako ni nyimbo nzuri sana ya mapenzi. Nilikua nasoma kwa kuimba na imeenda safi kabisa.

Kweli smart girl hujui cha kufanya? mie nakushauri puuza hizo email na kila kitu. kuna rafiki yako a karibu anampa contacts zako kwhaio wewe puuza hizo message zake zote kama unaona huwezi kumwambia msimamo wako ni upi.

Usijali ndio mapenzi, wote tunarudia makosa yale yale waliofanya wenzetu.
 
Pole aisee, amekupa mateso makubwa ya moyo! Nakushauri kwa kipindi hiki ondoa mawazo kwake na endeelea kujitahidi kukata mawasiliano naye. Pia usijilaumu kwa yale mema uliyomfanyia, maana uliyafanya kwa nia njema pasipo kujua kuwa yeye alikuwa anakutumia kwa manufaa yake binafsi. Inawezekana Mungu amekuepusha jambo kutokana na kitendo alichokufanyia.

Nakuombea heri Mungu akutie nguvu na endelea kuvumilia ipo siku utakuja kumpata atakeyekupenda kwa dhati.
 
Naona nimekugusa pabaya kweliiiiiiii,maanake so kutetea hoja huko,tena uache kabisa hiyo tabia yako mbaya.
 
Back
Top Bottom