kaulize ulipoitoa hiyo clip huku sidhani kama utapata jibu
Nafikiri umejua uelewa wako ulivyo na wachangiaji wengine., Kama hujui kitu kaa kimya. Jamii forum sio mtaa..Wiki kama mbili hivi kuliripotiwa shambulio hili likihusisha mabinti wawili, kwa maana ya mtekeleza shambulio alikua binti na alifanya hivi kwa sababu ya wivu wa mapenzi
Ebu jaribu kufungua uniambie
Mbona mnaguna tu twambieni basi maana nishaigopa kufungua
Inasemaje kwani Mkuu? Huwezi ukatuhadithia tu na Sisi ' Waoga ' wa kuifungua japo tuweze kuielewa tu kwa maelezo yako Kuntu / Sawia?
Mdada kakatwa shingo kwa nyuma inaninginia, minyama njenjee[emoji3]Sisi wa freebasics tunapataje huu uhondo?
AiseeeeMdada kakatwa shingo kwa nyuma inaninginia, minyama njenjee[emoji3]
Ila ya kawaida sana haitishi
Fungua uuone laivu ugwemgongo uliofundishwa kwenye sayansikimu darasa la sita b[emoji23][emoji3][emoji3]Aiseeee
Asante mkuu bora sijafungua nisingelala
Ata haitishiAiseeee
Asante mkuu bora sijafungua nisingelala
Ata haitishi
Fungua uuone laivu ugwemgongo uliofundishwa kwenye sayansikimu darasa la sita b[emoji23][emoji3][emoji3]
Smartpones zinazuzua watuEthics za kazi ziko wapi siku hizi huyu alievunjisha hii clip yamfaa kurudi darasani upya......
Shenzy type .....
Pole yake huyo aliekatwa shingo na amshukuru Mungu sana hiyo cut haikugusa cervical bones maana tungekuwa tunaongea mengine hapa .....
Naona wanacheka na kufurahi hawajui kuwa saliva ni moja wapo ya contaminantsSmartpones zinazuzua watu
Mdada kakatwa shingo kwa nyuma inaninginia, minyama njenjee[emoji3]
Ila ya kawaida sana haitishi
Hata mm imenishangaza sana. Kelele kibao utafikiri wanafurahia hiyo hali ya mgonjwa.Naona wanacheka na kufurahi hawajui kuwa saliva ni moja wapo ya contaminants
Hata uvaaji wao sijaupenda kwa kweli naona principles of surgery hasahasa kwenye preparation of a patient na surgeon walitoka emoty kabisa kwanza na hayo makelele kwenye surgical room hazitakiwi kule tunatumia ishara so akili yapaswa kujiongeza aisee so kwa kuongea huko.....
Ndio wanafunzi wa kidigitali hao usikute huyo aliekuwa ana record hiyo clips alikuwa either ni cleaness or assistant surgeon so ile cycle ya usafi hakuna tena hapo ......Hata mm imenishangaza sana. Kelele kibao utafikiri wanafurahia hiyo hali ya mgonjwa.
Kweli wametia najsi professions za wenyewe.
Hao wote wanafaa wapelekwe kariakoo shimoni wakapige umbea vzri. Shenz type
Mikwala mingi kumbe mwoga hiyo video inakitu kile kagame anapendagaInasemaje kwani Mkuu? Huwezi ukatuhadithia tu na Sisi ' Waoga ' wa kuifungua japo tuweze kuielewa tu kwa maelezo yako Kuntu / Sawia?