Inaogopesha sana

Ingekua ni mwanaume kamfanyia hivo comment zingekua nyingi za kulaani wanaume hapa. Ila sijaona mwanamke aliyekemea na kusema juu ya roho mbaya ya mtendaji
 
Ethics za kazi ziko wapi siku hizi huyu alievunjisha hii clip yamfaa kurudi darasani upya......

Shenzy type .....

Pole yake huyo aliekatwa shingo na amshukuru Mungu sana hiyo cut haikugusa cervical bones maana tungekuwa tunaongea mengine hapa .....
Umejuaje kama ajafa mbona anaonekama keshakufa sema kama wana mweka sawa Kwa kidogo Kwa ajili ya msiba
 
Ndo maana nahisi huyo Dada keshakufa sidhani atakuwa mzima chumba cha upasuaji madaktari wanaziba hadi midomo
 
Mh mm bhana MTU akiniambia hii inanuka vibaya nusa uihisi mwenyewe huwa sinusi au MTU aseme hii chungu lamba uonje sionji koz sipend viatu vichungu au MTU aseme hii inatisha angalia siangalii napenda kuwa ha
 
Wiki kama mbili hivi kuliripotiwa shambulio hili likihusisha mabinti wawili, kwa maana ya mtekeleza shambulio alikua binti na alifanya hivi kwa sababu ya wivu wa mapenzi
Kwa maelezo yako tu haina haja tena ya Mimi lkuifungua maana nilishaifaham kupitia group la wasap.
Asante kwa taarifa.
 
Nafikiri umejua uelewa wako ulivyo na wachangiaji wengine., Kama hujui kitu kaa kimya. Jamii forum sio mtaa..
kwahiyo umeona raha kusambaza clip za kutishana au sio?
 
Ethics za kazi ziko wapi siku hizi huyu alievunjisha hii clip yamfaa kurudi darasani upya......

Shenzy type .....

Pole yake huyo aliekatwa shingo na amshukuru Mungu sana hiyo cut haikugusa cervical bones maana tungekuwa tunaongea mengine hapa .....
Alipona?
 
Sasa hii ndo yakutisha watu kweli..Yani shingo moja tu hii ,, watu tulichinja basi zimaa hizo shingo
 
aisee kwa wenye roho nyepesi wasiifungue.
Kuna mtu alikuwa ananirushia clips flani hivi za ISIS wakikata watu shingo kwa nyuma, uzalendo ulinishinda nikamwambia asiwe ananirushia tena.
 
Daaammmnn niggaaa.. Konyagi yote niliyokunywa imeruka nahisi kama nimekunywa chai [emoji33] [emoji33] [emoji33]
We si ulijitolea kuifungua kwa niaba vp tena Bapa imegeuka tena chai, kwi kwi kwi kwi umenifurahisha sana.
 
Umejuaje kama ajafa mbona anaonekama keshakufa sema kama wana mweka sawa Kwa kidogo Kwa ajili ya msiba
Mkuu umeiangalia kiuoga sana bhana we unadai ameshakufa hujaona mkao aliokaa kuwa ni wa mtu aliye hao???Mtu aliyekufa hawezi kukaa alivyokaa huyo majeruhi maana kaegemeza kichwa chake juu ya mkono wake na anabalance nzuri tu wakati anahudumiwa.
 
Kwahiyo Kwa kidonda kama hicho unadhani huo mkao amejiweka mwenyewe hata wana gusagusa jeraha asikii maumivu na kama wamempa nusu kaputi basi ujue akujiweka huo mkao yeye mwenyewe king jeraha kama ilo maumivu yake siyo ya mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…