herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,744
Hisabati. Katika watanzania 1000, mmoja tu ndio anaweza kujiuliza kama wewe kipindi Cha uchaguziWakati wa uchaguzi kuna drama nyingi sana.
Hao wote wamekuwepo kwenye mfumo, wamekula keki ya taifa na na kusaza, leo ni jambo gani limewasibu mpaka mwenyekiti wao awe na shida?
Hatukatai yote wasemayo yanamantiki, ila shida ni wao kuyasema hayo leo au wakati huu wa uchaguzi
Nani wa kumzuwia ?!HATOGOMBEA
Nani kasema.?Kwanza urais ilitakiwa iwe miakaa mitano tu baada ya hapo aje mwinginee maana WATANZANIA wasomi n wengi na wenye uwezo wakuongozaaa...
Wenye nchiNani wa kumzuwia ?!
Lakini ni Amiri Jeshi Mkuu, hivyo ni mzalendo Namba 1 , labda iwe kaasiSo, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].
Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.
Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.
Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.
Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!
Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?
It looks like something is brewing inside CCM….
What say you? Good thing or bad thing?
Akina nani hao ?! 😳Wenye nchi
Keshaonja mema ya nchi na hataki kuyaachaKwani lazima agombee?
Vitu ambavyo alie kwenye hatamu hana hata kimoja kwa sasa.Hii nchi inahitahi iongozwe na mtu ana akili, ana humility na ana moyo.
He looks like he was doubling down today...nashindwaga kumfuatilia kabisa hoja zake..anajaribu kusema asichotaka kusema japo anaamini anasema anachotaka kusema...halafu atasema "hawakunielewa nilikuwa natolea mfano tu!"So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].
Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.
Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.
Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.
Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!
Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?
It looks like something is brewing inside CCM….
What say you? Good thing or bad thing?
NO REFORMS, NO ELECTION.So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].
Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.
Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.
Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.
Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!
Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?
It looks like something is brewing inside CCM….
What say you? Good thing or bad thing?
Kama ameamua kufanya Jambo asifanye nusu nusu.He looks like he was doubling down today...nashindwaga kumfuatilia kabisa hoja zake..anajaribu kusema asichotaka kusema japo anaamini anasema anachotaka kusema...halafu atasema "hawakunielewa nilikuwa natolea mfano tu!"
Tamaa ilimuua Fisi. 🐆Alijitakia mwenyewe
Kwanza hana uwezo wa kuwa raisi.
Pili muda wake umekwisha, alipaswa awapishe wengine ( huyu alikuwa VP ni sawa na kuwa raisi tu kwa miaka 5)
Raisi alipokufa akawa raisi. Sasa miaka 5 imekwisha kwa maana ya 10 anataka aendelee? Kwa sababu gani?? Yani atutawale kwa miaka 15???
Samia kwa nafsi yake kabisa hatamani tena kuendelea kukalia hicho kiti tatizo amekubali kuwa manipulated na wapambe hadi kaingia kwenye kinyang'anyiro sasa kujitoa anaona aibu lakini kwa sasa maji yameshazidi unga.So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].
Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.
Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.
Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.
Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!
Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?
It looks like something is brewing inside CCM….
What say you? Good thing or bad thing?
Ile ilikuwa showoff tu.Kumbe alipovaa Yale magwanda, ilikuwa ni kwa ajili ya selfie tu!
Hamna uzalendo wowote!
Abdul mbona una hasiraaa Sanaa 😀Nani kasema.?
Insha Allah ni hadi 2030...Hutaki kajambe mbele huko