Daah kumbe VP ni sawa na Rais,nilikua sijui ilo.Alijitakia mwenyewe
Kwanza hana uwezo wa kuwa raisi.
Pili muda wake umekwisha, alipaswa awapishe wengine ( huyu alikuwa VP ni sawa na kuwa raisi tu kwa miaka 5)
Raisi alipokufa akawa raisi. Sasa miaka 5 imekwisha kwa maana ya 10 anataka aendelee? Kwa sababu gani?? Yani atutawale kwa miaka 15???
pM kaachie, bila shaka na yeye pia.Alijitakia mwenyewe
Kwanza hana uwezo wa kuwa raisi.
Pili muda wake umekwisha, alipaswa awapishe wengine ( huyu alikuwa VP ni sawa na kuwa raisi tu kwa miaka 5)
Raisi alipokufa akawa raisi. Sasa miaka 5 imekwisha kwa maana ya 10 anataka aendelee? Kwa sababu gani?? Yani atutawale kwa miaka 15???
Naye si wanasema alipigiwa kura? Sasa iweje apigiwe kura mara nyingi kama mbunge?Daah kumbe VP ni sawa na Rais,nilikua sijui ilo.
Nyie ndiyo mnatufanya tuonekane tunapinga vitu kwa mihemko kabisa. Katiba ipo wazi kua Rais atakua na makamu wake na pindi ikitokea Rais akapata shida ya kutoweza kuendelea kuhudumu basi makamu wake atachukua nafasi ya urais. Mfano leo hii CHADEMA tungeshinda uchaguzi wa 2020 ikitokea tuliemchagua akawa Rais na ikatokea kama ilivyotokea kwa JPM basi Salimu Mwalimu ndiye angekua Rais.Je,CHADEMA tungesema hamna huyu Salim Mwalimu ajapigiwa kura na wananchi? KARIBUNaye si wanasema alipigiwa kura? Sasa iweje apigiwe kura mara nyingi kama mbunge?
Awamu zake 2 za kupigiwa kura zinatosha.
Kwa kweliWakati wa uchaguzi kuna drama nyingi sana.
Hao wote wamekuwepo kwenye mfumo, wamekula keki ya taifa na na kusaza, leo ni jambo gani limewasibu mpaka mwenyekiti wao awe na shida?
Hatukatai yote wasemayo yanamantiki, ila shida ni wao kuyasema hayo leo au wakati huu wa uchaguzi
Lazima ukwepe kupelekwa mahakamani hawa jamaa kukukalisha gerezani mwaka mzima kwa kukosea matamshi yanayokubananisha kisheria hawashindwiHe looks like he was doubling down today...nashindwaga kumfuatilia kabisa hoja zake..anajaribu kusema asichotaka kusema japo anaamini anasema anachotaka kusema...halafu atasema "hawakunielewa nilikuwa natolea mfano tu!"
Mkuu uko sahihi sana;Kuna namna sahihi ya kucheza siasa za Tanzania, lakini si kwa njia ya Gwajima.
SIasa za Tanzania hazihitaji mbwembwe. Hii nchi sio tajiri lakini walau ina dira.
Kuna namna kwa nini baada ya Nyerere Mwinyi alikuwa rais, akafatiwa na Mkapa, akafatiwa na Kikwete, akafatiwa na Magufuli, na sasa tu mtu anaitwa Samia.
Hawa watu wanatofautiana sana. Lakini, I think, ninaweza kupata theme.
Hii nchi inahitahi iongozwe na mtu ana akili, ana humility na ana moyo.
Ukimsoma tu Gwajima, huyu mtu hana akili, hana humility na hana moyo.
Its just quite perplexing kwamba ni kiongozi kwenye dini niipendayo sana, ninayoiamini sana, ya kiKristo, but no, Gwajima is not my guy.
Kila kiftu anasema kiko transparent, so obvious kwamba anatafuta dili lake. Mfano anavyosema wakuu wa vyombo vya usalama wanahitaji kulindwa maana yake nini? Yaani mkuu wa majeshi au wa Polisi alindwe? Aongezewe maslahi zaidi ya anayopewa sasa? HOW? WHY?
Ni upuuzi, ni kujigonga, mtu yeyote anaona what Gwajima is up to. Ni akili ndogo. Ni aina ya ukristo ambao watu wa nchi za kiafrika wa miaka ya hivi karibuni wamejikuta wakikumbana nayo. Ukristo maslahi ulio mbali sana Kristo mwenyewe.
Mi siyo fan wa CCM. But nitamkataa Samia kwa mambo mengine lakini sio kwa tuhuma za Gwajima. So far kwangu baada ya Magufuli Samia hajaharibu sana. Kuna namna ambavyo mambo ningependa yawe tofauti (mfano, kuna namna rushwa na uzemve umeongezeka serikalini) lakini so far mambo yanavumilika.
Kumbe kweli Kuna watu na viatu...Kuna namna sahihi ya kucheza siasa za Tanzania, lakini si kwa njia ya Gwajima.

Unazingua madamKwa kweli
Kwanini wamekuja juu sasahivi wakati walikaa kimya muda wote?
Na wengi wameenjoy maisha pamoja na Rais,iweje leo wamgeuke?
Kumtunza Rais mstaafu na familia yake ni gharama i seeKwanza urais ilitakiwa iwe miakaa mitano tu baada ya hapo aje mwinginee maana WATANZANIA wasomi n wengi na wenye uwezo wakuongozaaa...
Amiri jeshi gani kilazaa???SAMIA NI AMIRI JESHI MKUU,NA OCTOBER INSHA ALLAH TUNATIKIIIII
Hzo gharama haziwezi kupunguzwa Kwan mkuu maana c analipwa mshahara akiwa kazini Kwa miaka hyo mitano na Kila kitu anatumia Bure mkuu 🤔🤔au inakuwaje mkuuKumtunza Rais mstaafu na familia yake ni gharama i see
Absolutely, YES...Lazima ukwepe kupelekwa mahakamani hawa jamaa kukukalisha gerezani mwaka mzima kwa kukosea matamshi yanayokubananisha kisheria hawashindwi
Hapo anacheza na maneno kukwepa Sheria ya kuswekwa ndani anafikisha ujimbe kwa Code
Ndivyo ilivyo mbona, ndio maana baada ya miaka mi 5 tunatafuta tena msomi mwingine wakuongoza.Kwanza urais ilitakiwa iwe miakaa mitano tu baada ya hapo aje mwinginee maana WATANZANIA wasomi n wengi na wenye uwezo wakuongozaaa...
Hili hitimisho lako limekuwa dhaifu mno. Halafu hoja ya Ukristo wako kwenye hoja za Gwajima umeingiaje?. So far kwangu baada ya Magufuli Samia hajaharibu sana. Kuna namna ambavyo mambo ningependa yawe tofauti (mfano, kuna namna rushwa na uzemve umeongezeka serikalini) lakini so far mambo yanavumilika.
Alaa kumbe ni hivyo. ??? 😳Alcohol only postpones the problem till the next day.
Kwanini?Unazingua madam
Hakuna anayebisha kuhusu hili. Isipokuwa nafasi yake tayar imetosha kwa vipindi ambavyo naye amekuwa sehemu ya kuchaguliwa.Nyie ndiyo mnatufanya tuonekane tunapinga vitu kwa mihemko kabisa. Katiba ipo wazi kua Rais atakua na makamu wake na pindi ikitokea Rais akapata shida ya kutoweza kuendelea kuhudumu basi makamu wake atachukua nafasi ya urais. Mfano leo hii CHADEMA tungeshinda uchaguzi wa 2020 ikitokea tuliemchagua akawa Rais na ikatokea kama ilivyotokea kwa JPM basi Salimu Mwalimu ndiye angekua Rais.Je,CHADEMA tungesema hamna huyu Salim Mwalimu ajapigiwa kura na wananchi? KARIBU