kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Hello bosses and roses...
Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo.
Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites zangu mwenyewe kuanza kutopatikana kwa users walokuwa wanatumia mtandao wa Tigo na Airtel, ivyo ikapelekea nifanye utafiti wa kina zaidi kuanzia kwa hosting provider hadi DNS ninayotumia.
Baada ya utafiti wa karibu saa zima technical support wa hosting provider ninaemtumia akaniomba IP Address yangu maana ilionekana nakosa access sababu ya kuwa blocked ila nikitumia VPN kupata IP Address nyingine ndio naweza kuingia kwenye hizo sites. Baada ya kumpa IP Address yangu ninayoipata kutokea Tigo tukagundua hio IP Address ina low reputation na imekuwa flagged kwenye baadhi ya Databases zinazotrack malicious Ip Addresses, na ndio kilipelekea kutokea kwa hizo blocks kila nikitaka kuaccess site ambayo inafilter Ip Addresses kwa kutumia database ambamo Ip address yangu imekuwa flagged pia.
Jambo hilo limeendelea hadi leo, hata hapa ninapoongea Ip Address ambayo naitumia kutoka Tigo inaonekana nayo ina 'low reputation'
Work around nloitumia ni kutafuta DNS ambayo inatumia mechanism tofauti kufilter hizi IP Addresses kwa ajili ya websites zangu maana wateja wengi walikua hawazipati.
Kama kuna wahusika wa mtandao wa Tigo na Airtel naomba mfuatilie hili. Shukran.