KERO Inaonekana Baadhi ya IP Addresses zinazotolewa na mtandao wa Tigo na Airtel zipo blacklisted (zina low reputation)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses and roses...

Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo.

Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites zangu mwenyewe kuanza kutopatikana kwa users walokuwa wanatumia mtandao wa Tigo na Airtel, ivyo ikapelekea nifanye utafiti wa kina zaidi kuanzia kwa hosting provider hadi DNS ninayotumia.

Baada ya utafiti wa karibu saa zima technical support wa hosting provider ninaemtumia akaniomba IP Address yangu maana ilionekana nakosa access sababu ya kuwa blocked ila nikitumia VPN kupata IP Address nyingine ndio naweza kuingia kwenye hizo sites. Baada ya kumpa IP Address yangu ninayoipata kutokea Tigo tukagundua hio IP Address ina low reputation na imekuwa flagged kwenye baadhi ya Databases zinazotrack malicious Ip Addresses, na ndio kilipelekea kutokea kwa hizo blocks kila nikitaka kuaccess site ambayo inafilter Ip Addresses kwa kutumia database ambamo Ip address yangu imekuwa flagged pia.

Jambo hilo limeendelea hadi leo, hata hapa ninapoongea Ip Address ambayo naitumia kutoka Tigo inaonekana nayo ina 'low reputation'

Work around nloitumia ni kutafuta DNS ambayo inatumia mechanism tofauti kufilter hizi IP Addresses kwa ajili ya websites zangu maana wateja wengi walikua hawazipati.

Kama kuna wahusika wa mtandao wa Tigo na Airtel naomba mfuatilie hili. Shukran.
 
bro hapo bado kuna tatizo la mkondo kwaiyo baadhi ya tasisi za mitandao wanafanya back za link kwenye site zao mfamo kuna tasisi kama brela na site nida hapa toka jana zinashida hapa hazipo sawa
 
Ni tatizo kubwa, nakumbuka kuna wakati kila site ilikuwa inaniomba niverify kuwa mimi ni binadamu kila page inapoload, inaelekea IP za bongo zinatumika sana kwenye spam na BOTs nadhani kwa vile hatuna utamaduni wa kuupdate computer zetu na simu zetu hizi nina wasiwasi zimejaa malware mbalimbali kwa tunavyopenda kudownload APK zisizoeleweka.
 
Sijajua hii mitandao inatumia mechanism gn kutoa IP Addresses, lkn kwa nn watupe IP Address zenye reputation ya chini sana na zingine ambazo ni blocked kabisa?

Kama sshv hapa nimepewa ip ambayo imekuwa blocked hadi kwenye url ya t.me ya telegram, kwa hio nikitaka kuchek channel au group la telegram kupitia link yenye structure hio mpaka niwashe VPN nipate IP nyingine

Inakera sana
 
Kwa kifupi kila ISP wana kundi la public IPV4 IP kiasi fulani, ni limited resource ambazo inabidi watumiaji wao wazishare so zikipata reputation mbovu wote tunaumia.
 
Back
Top Bottom