johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Binafsi sikuona sababu ya RC kuwaka hadharani Kwa sababu Gambo ni Mwanasiasa na alichofanya ni Propaganda ya kawaida kabisa Kufanya Wananchi wajue CCM inawajali
Kuhudhuria Vikao ama la hilo ni swala la kiutawala na Lina kanuni zake za kinidhamu siyo tu kurushana roho hadharani
Nahisi kuna moto unawaka Chini Kwa chini CCM kama ulivyoanza Huu wa Chadema miaka Miwili iliyopita na sasa Umekolea
Ni tahadhari tu 🐼