Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Na naonaga Mzee Tabasamu hanaga habari na dauda, wala hajawahigi kumzingua… anamchukulia kama wanae kina Rizi tu na kina Mil-haj, na huenda mzee anamdharaugi akiamini ni bogus! Shule yenyewe inasemekana ni ya kimazabe. Hata rizi anamzidi kwa elimu na kujitambua. Ndomana ile sakata ya mwaka ule mpaka dauda akam-mention rizi kwenye orodha ya wasukuma ngada nguri nchini Mzee tabasamu hakuamua kumzingua, ila binafsi naamini mzee akiamua kummaliza ni mission ya wiki wiki anapoa na kupotea kama tukipuliza chai ya moto kwa feni. Yaan ni fyuuuuu! 💨Ishapoa… maulamaa twanywa 😂👍🏾Yap nili jua tu, una jua kitu una weza kijenga kwa muda mrefu halafu uka haribu kwa sekunde 1 tu .
halafu wale Wana guard ya mzee wa tabasamu, sidhani Kama ange ruhusu dogo aende ndumo.
Halafu mk naye mshamba mshamba, hivi power ya madaraka ya muda ndo iku fanye ugombane na kila mtu .