johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mako mzinguaji halafu ana tabia ya kupenda kuongea akiwashika shika wenzake mabega na hiyo huwa ni ishara ya kwamba mimi ni braza wewe ni dogo.Binafsi sikuona sababu ya RC kuwaka hadharani Kwa sababu Gambo ni Mwanasiasa na alichofanya ni Propaganda ya kawaida kabisa Kufanya Wananchi wajue CCM inawajali
Kuhudhuria Vikao ama la hilo ni swala la kiutawala na Lina kanuni zake za kinidhamu siyo tu kurushana roho hadharani
Nahisi kuna moto unawaka Chini Kwa chini CCM kama ulivyoanza Huu wa Chadema miaka Miwili iliyopita na sasa Umekolea
Ni tahadhari tu 🐼
Makonda sidhani kama analitaka jimbo ila akigombea ni 100% anachukua.Umeona clip ya upande wa makonda tu,je umeona clip ya upande wa Gambo akimchongea Makonda kwa Waziri ?
Yaani wewe umehitimisha kwa upande mmoja tu ,
Gambo ana hofu na kasi ya makonda ataichukua Arusha ,ndio maana ameanza figisu kumchafua makonda ,
Makonda nae hajataka kusubili kamchana hadharani
Umeona clip ya upande wa makonda tu,je umeona clip ya upande wa Gambo akimchongea Makonda kwa Waziri ?
Yaani wewe umehitimisha kwa upande mmoja tu ,
Gambo ana hofu na kasi ya makonda ataichukua Arusha ,ndio maana ameanza figisu kumchafua makonda ,
Makonda nae hajataka kusubili kamchana hadharani
Hahaha Simba wa bahari, yule anae tangazwa Sana pale kwenye biashara ya Wana ukwaju.Siku wakikutana maeneo zinaweza kupigwa, au kutaka kupigwa… kama dauda alivyotakaga kuzipigaga na kijana mmoja wa kiarabu machachari kutoka familia tajiri anajiita simba wa bahari a.k.a “Sacrface” maeneo ya ushuani masaki mwaka uliopita au mwaka juzi kama sikosei.
Ila dauda gym zinamdanganya 😂 bila raia kuingilia kati angepasuka mpaka aibu
🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️💨
Mungu yupo kazini.Binafsi sikuona sababu ya RC kuwaka hadharani Kwa sababu Gambo ni Mwanasiasa na alichofanya ni Propaganda ya kawaida kabisa Kufanya Wananchi wajue CCM inawajali
Kuhudhuria Vikao ama la hilo ni swala la kiutawala na Lina kanuni zake za kinidhamu siyo tu kurushana roho hadharani
Nahisi kuna moto unawaka Chini Kwa chini CCM kama ulivyoanza Huu wa Chadema miaka Miwili iliyopita na sasa Umekolea
Ni tahadhari tu 🐼
Huo mbona ni cha mtoto,CCM hakuko shwari kiviiile,hizi tetesi za form zaidi ya moja April siyo jambo dogo. Hadi Sultan kuwekewa fungu la 12b kusaidia hii vita siyo mchezo maana kama atapitishwa yeye anaenda kukutana na upinzani wa ndani mkubwa hasa huku kwetu kanda ya ziwa ndiyo maana Lissu hatakiwi awe mwenyekiti wala mgombea wa Urais kwani kijani wa huku wameapa kwenda na Lissu kuliko mama dula.Binafsi sikuona sababu ya RC kuwaka hadharani Kwa sababu Gambo ni Mwanasiasa na alichofanya ni Propaganda ya kawaida kabisa Kufanya Wananchi wajue CCM inawajali
Kuhudhuria Vikao ama la hilo ni swala la kiutawala na Lina kanuni zake za kinidhamu siyo tu kurushana roho hadharani
Nahisi kuna moto unawaka Chini Kwa chini CCM kama ulivyoanza Huu wa Chadema miaka Miwili iliyopita na sasa Umekolea
Ni tahadhari tu 🐼
Yule Waziri naye kilaza tu angekuwa anayejiamini angeutoa ule mkono tena kwa kuubetua kabisa.Mako mzinguaji halafu ana tabia ya kupenda kuongea akiwashika shika wenzake mabega na hiyo huwa ni ishara ya kwamba mimi ni braza wewe ni dogo.
Ona alivyokuwa namshika mabega waziri.
..na siku Makonda akitia nia ubunge wa Arusha mjini,anaweza kuwaacha watu wengi midomo wazi,kwa uungwaji mkono.Umeona clip ya upande wa makonda tu,je umeona clip ya upande wa Gambo akimchongea Makonda kwa Waziri ?
Yaani wewe umehitimisha kwa upande mmoja tu ,
Gambo ana hofu na kasi ya makonda ataichukua Arusha ,ndio maana ameanza figisu kumchafua makonda ,
Makonda nae hajataka kusubili kamchana hadharani
Kweli mkuu.Lakini kwa necha ya yule bwana, hata kama hakuna moto unaowaka angesema tu
Kwanza mimi nilidhani wanafanya commed, kuja kuangalia vizuri, waah!Binafsi sikuona sababu ya RC kuwaka hadharani Kwa sababu Gambo ni Mwanasiasa na alichofanya ni Propaganda ya kawaida kabisa Kufanya Wananchi wajue CCM inawajali