Inaonekana hata CCM kuna moto unawaka chini kwa chini na Ushahidi ni karipio la hadharani la RC Makonda kwa Mbunge Gambo

Na akiingia bungeni anateuliwa kuwa Waziri Mkuu
Hilo ndio tamanio kubwa la DAB anamtaka mtu wa kumuingiza kule tu basi na huyu mama atamuingiza ndio maana Gambo anatetea Ugali wake mapema ili baadae isije ikawa tabu maana anajua kinachofuata ni nini
 
Kwa hiyo Makonda na Gambo wapo kwenye vita ya ubunge?
 
Hapo ni vita ya ubunge
 
Kwa hiyo Makonda na Gambo wapo kwenye vita ya ubunge?
Ulikua haujui na sio kwamba DAB anautaka Ubunge tu anataka mpaka kile kiti kikuu maana akipata Ubunge haitatosha atataka Uwaziri haitatosha atataka na kile kiti kikuu akae yeye, matamanio ya DAB ni zaidi ya vile unavyofikiri na Gambo yupo kutetea Ugali wake maana anajua DAB yupo kwenye kampeni za kumng'oa yeye kwenye Ubunge ili aingie Bungeni hilo ni tamanio kuu la DAB
 
Aiseeee hapo nimeioata logic openly.
 
Ugomvi wa Gambo na Makonda ni sawa na ugomvi wa Mbowe na Lissu?
Gambo na Makonda wanagombea uenyekiti wa CCM hadi ulinganishe na ugomvi huko Chadema?
 
Ugomvi wa Gambo na Makonda ni sawa na ugomvi wa Mbowe na Lissu?
Gambo na Makonda wanagombea uenyekiti wa CCM hadi ulinganishe na ugomvi huko Chadema?
Wanagombea Ubunge wa Arusha na DAB kashaanza kufanya kampeni kitambo ili aingie Bungeni kupitia Arusha Gambo kashtukia chezo
 
Wanagombea Ubunge wa Arusha na DAB kashaanza kufanya kampeni kitambo ili aingie Bungeni kupitia Arusha Gambo kashtukia chezo
Kwani wameshachukua form za kuwania huo ubunge? Je wamepita wote uteuzi?
Ugomvi wao una màdhara gàni huko CCM taifa hàdi ulinganishe na vita ya Mbowe na Lissu?
 
Kwani wameshachukua form za kuwania huo ubunge? Je wamepita wote uteuzi?
Ugomvi wao una màdhara gàni huko CCM taifa hàdi ulinganishe na vita ya Mbowe na Lissu?
Mkuu mimi sijasema unachosema inaweza ikawa hatujaelewana labda
 
Kwani ni lini CCM wakawa na utulivu? Kinachowaweka pamoja ni nguvu ya dola!
 
Hata huko huwa moto unawaka na makundi yanazalishwa, ila uchaguzi ukifika ndio utagundua CCM hawataki utani, wanakuwa kitu kimoja kuhakikisha wanashinda
 
Hamna moto kule kwa sababu DAB ni mwajiriwa wa serikali kama waajiriwa wengine. Yeye sio mwanasiana bali ni mtu wa kupenda attention na misifa ya kijinga ili aonekane hata kule alikotokea Kolomije(By Gwajima boy). Ili aonekane ni lazima akudhalilishe mebele za watu
 
Hakuna moto unaweza kuwaka kwenye hilo chama la majoga na wategemea mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Huko ndio kuna moto usio wa kitoto. Ndio maana wanakazana kuuchochea moto wa CHADEMA ili wapate ahueni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…