Inaonekana hata CCM kuna moto unawaka chini kwa chini na Ushahidi ni karipio la hadharani la RC Makonda kwa Mbunge Gambo

Na naonaga Mzee Tabasamu hanaga habari na dauda, wala hajawahigi kumzingua… anamchukulia kama wanae kina Rizi tu na kina Mil-haj, na huenda mzee anamdharaugi akiamini ni bogus! Shule yenyewe inasemekana ni ya kimazabe. Hata rizi anamzidi kwa elimu na kujitambua. Ndomana ile sakata ya mwaka ule mpaka dauda akam-mention rizi kwenye orodha ya wasukuma ngada nguri nchini Mzee tabasamu hakuamua kumzingua, ila binafsi naamini mzee akiamua kummaliza ni mission ya wiki wiki anapoa na kupotea kama tukipuliza chai ya moto kwa feni. Yaan ni fyuuuuu! 💨Ishapoa… maulamaa twanywa 😂👍🏾
 
Upande mmoja moto wa gas kwingine moto wa mabua
 
haya yetu masikio lakini sioni huo moto unaosema
 
Yule Waziri naye kilaza tu angekuwa anayejiamini angeutoa ule mkono tena kwa kuubetua kabisa.
That was disrepectful, mtu akikushika vile bega anamaanisha (Wewe ni Bwana mdogo) but also ni indication Makonda has some invisible power kuliko za hadharani.

Makonda atakuwa ni afisa Mwandamizi kwenye Usalama wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…