Inaonekana huko Pangani kuna uchawi mkali sana

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Nilikua nasikiliza wimbo wa Utaonaje by Billnass, nasikia humo ndani anatuhamasisha wasikilizaji wake kwa kusema

"Ukitaka kuroga nenda Pangani."

nimeishi Korogwe kwa Maji Marefu nimejionea uchawi wa kila aina. Ila kwa sasa Inaonekana huko pangani Tanga kuna mambo mazito.

Copy to Mshana Jr BIN NUN Maya Angelou na wengine wote
 
Hakuna umekua mji maarufu tu kwa visomo vya masharifu na masheikh
 
Kabla uje JF hakikisha unapata kiamsha kinywa mkuu....natumai akili yako iko sawa lakini.
 
Nachojua waganga wapo kila sehemu ila wametofautiana dawa/nguvu
Huwezi ukaenda kwa mganga yeyote tu ukamwambia akupe dawa ya utajiri,
wapo waganga wakali/ wakawaida na wakawaida sana.
 
Uko sahihi kabisa,kwa mtu yeyote ambae hamini hii mambo aende akaishi Pangani, lakini unaweza pia usiyaone kama hujayatafuta.
 
Korogwe Kuna uchawi gani?
Huko enzi hizo nikiwa mdogo nilikua naona...

wanatupiana ZONGO (kuvimbishana Tumbo)

Unakanyaga kifuu njiani halafu kinaongea na wewe tena unapigwa mkwara mzito😅😅😂

mazao yanahamishwa shambani

Darasani unaibiwa akili hio inahamishwa kwenda kwa mwingine
 
Nakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…