Inaonekana kuna jamaa analalaga na mke wangu ndani ya nyumba yangu

Inaonekana kuna jamaa analalaga na mke wangu ndani ya nyumba yangu

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Nilienda kwa mke wangu baada ya kupta wiki kazaa, cha kushangaza ni kwamba mtoto wangu wakwanza mwenye miaka minne aliniuliza hivi baba jana usiku ulikuja? Nikamjibu hamna. Akanambia jana usiku kuna mwanaume alipga hodi mama akamfungulia na akalala

Sasa je, nifuatilie nijue? Au nikaushe tu? Na mama unanshauri nifuatilie nianzeje?

Nipo njia panda naomba ushauri
 
Ulienda kwa mkeo, mnaishi mikoa tofauti?!

Kama uko tayari kumuacha anza kumfuatilia, ila ungeongea naye kabla ya kuanza kumfuatilia! Mshtuko wake tuu utakupa jibu sahihi!!

Ila kama kweli kaingiza mwanaume ndani, kakosea mnoo!
 
Mkuu huon kuwa nikimhoji ntahatarisha maisha ya mtoto?? Naona Kama mtoto anaweza akamgeukia,ni kweli tunaish mikoa tofaut
 
Mkuu huon kuwa nikimhoji ntahatarisha maisha ya mtoto?? Naona Kama mtoto anaweza akamgeukia,ni kweli tunaish mikoa tofaut
Usimtaje mtoto. Mshtuko tu na kujikanyaga kwake kutakupa jibu tosha na ukishamwambia Kama hutaki kumwacha usiendeleze maongezi mwache mwenyewe ajichanganye we chuna kimyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan we jamaa ata hujafanya uchunguzi tayar ushayafikisha kwa mamaako. wan nymbn kwako hajawah kuja ndugu wa kiume akalala? Fanya uchunguz kimya kimya...ukwel utajulikana tu ila ukubaliane na matokea, ruhusu akili ifanye kazi na syo hisia zako katika kufanya maamuzi.

Asante
 
Back
Top Bottom