Inaonekana kuna jamaa analalaga na mke wangu ndani ya nyumba yangu

Inaonekana kuna jamaa analalaga na mke wangu ndani ya nyumba yangu

Ndo non mkuu???
Ni namna ya kurekodi kinachoendelea hapo kwako, either kwa sauti au video kama una simu au cctv. Tofauti na hapo inabidi ufanye ambush kuja muda usiotabirika au kaa darini siku nzima bila mtu kujua au track simu yake
 
Mtoto Anasema anachokiona yani Haongezi wala hapunguzi so hapo Akili kichwani fanya Kumfatilia Mkeo mpaka umjue huyo jamaa lakini Usioneshe dalili yoyote kuwa Mwanao ndo kakutonyaa utafanya mtoto aishi maisha magumu lakini kaa ukijua


ASILIMIA 10000000 MKEO ANALIWA NA JAMAA MWINGINE NA MTOTO AMESEMA UKWELI MTUPU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huon kuwa nikimhoji ntahatarisha maisha ya mtoto?? Naona Kama mtoto anaweza akamgeukia,ni kweli tunaish mikoa tofaut
Sasa mnaishi mikoa tofauti unadhani tendo takatifu atapewa na nani? Anakula na kushiba so lazima genye ziwepo na atapata tu wa kumtuliza.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
Pole sana. Najaribu kuwaza hizi gadhabu zilikushika hapo hapo.

Kama unampenda na unajua huna uwezo wa kumuacha basi vunga tu au mchane kiujanja

Kama upo ngangari, wawekee mtego tu ukiwakamata unatafuna marinda tu.

Ukishindwa kabisa wasiliana na Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapowasiliana na Mshana Jr unakuta na yeye mwenyewe taabani kwa fadhaa za kugongewa wa kwawe ndio unakumbuka suluhisho ni kununua gunia mbili za mkaa
 
Hapo ni kuweka mtego naamini utanasa mapema tu, ila kama unajua hutaweza kumuacha kausha kufuatilia

Sent using kidole gumba
 
Back
Top Bottom