Marinda ya nani?[emoji38][emoji38][emoji38]
Pole sana. Najaribu kuwaza hizi gadhabu zilikushika hapo hapo.
Kama unampenda na unajua huna uwezo wa kumuacha basi vunga tu au mchane kiujanja
Kama upo ngangari, wawekee mtego tu ukiwakamata unatafuna marinda tu.
Ukishindwa kabisa wasiliana na Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni namna ya kurekodi kinachoendelea hapo kwako, either kwa sauti au video kama una simu au cctv. Tofauti na hapo inabidi ufanye ambush kuja muda usiotabirika au kaa darini siku nzima bila mtu kujua au track simu yakeNdo non mkuu???
Mtoto kamaliza show. Lazima kwenye familia kuwe na snitch mmoja. Iki uwezw kupata habari kama hiziHuyo mtoto wako mmbea sana! Hahahahaa
Ni namna ya kurekodi kinachoendelea hapo kwako, either kwa sauti au video kama una simu au cctv. Tofauti na hapo inabidi ufanye ambush kuja muda usiotabirika au kaa darini siku nzima bila mtu kujua au track simu yake
Sasa mnaishi mikoa tofauti unadhani tendo takatifu atapewa na nani? Anakula na kushiba so lazima genye ziwepo na atapata tu wa kumtuliza.Mkuu huon kuwa nikimhoji ntahatarisha maisha ya mtoto?? Naona Kama mtoto anaweza akamgeukia,ni kweli tunaish mikoa tofaut
Unapowasiliana na Mshana Jr unakuta na yeye mwenyewe taabani kwa fadhaa za kugongewa wa kwawe ndio unakumbuka suluhisho ni kununua gunia mbili za mkaa[emoji38][emoji38][emoji38]
Pole sana. Najaribu kuwaza hizi gadhabu zilikushika hapo hapo.
Kama unampenda na unajua huna uwezo wa kumuacha basi vunga tu au mchane kiujanja
Kama upo ngangari, wawekee mtego tu ukiwakamata unatafuna marinda tu.
Ukishindwa kabisa wasiliana na Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto ana kosa gani hapo! Watoto ndivyo walivyo, wala mama hawezi kumgeukia mtoto wa miaka minne!Mkuu huon kuwa nikimhoji ntahatarisha maisha ya mtoto?? Naona Kama mtoto anaweza akamgeukia,ni kweli tunaish mikoa tofaut
Hayo ndo madude gani kuyaendekeza mpaka ulete mwanaume ndani?! Tuache kusingizia hayo madude, mwanamke hajielewi!
Mwanamke ni mwanamke tu.Mke ni mke tu haijarish