Inaonekana kuna jamaa analalaga na mke wangu ndani ya nyumba yangu

Inaonekana kuna jamaa analalaga na mke wangu ndani ya nyumba yangu

Utakua bado ni mtoto wewe

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Mkuu we acha tu Hawa wanawake,yaan hapa nilipo nawaza sana leo ni ciku ya Saba bado nawaza tu na sjafanya chochote

Kuishi na mke mikoa tafauti ni kujitengenezea mwenyewe mazingira ya kutafuniwa, kiukweli 90% hutafuniwa
 
Mnhh kuna mabaharia wengine wana ujasiri..unatembea na mke wa mtu nyumbani kwake na mumewe?!
 
Kama unataka kufatilia aga unasafiri kama kawaida ila katulie mahali then weka mtu mtego awe anakupa taarifa njemba akishatia maguu nawe unakuja fasta kufumua marinda
Akija kufumania aje na jeshi tu maana sio poa. 🤣🤣🤣
 
Kwanza muulize dogo huyo 'ankoli' amemuona mara ngapi na anatia timu mida gani! Kama ni zaidi ya mara moja na anakuja usiku tu jua mke wako anaganga baridi usipokuwepo.
Fanya uishi naye huko unakoishi ww kabla hujalea watoto wa ankoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama akijua dogo ndio kamchongea atamtia vitasa kichizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] af inaonesha ni mtoto wa kike huyo ndio maana amemfungukia mshua. Wa kiumeni angeuchuna!
Jamaa akazane kumkanya mwanae








kush and Wisdom
 
Pole sana...

Ushapewa dokezo, fuata muongozo...

Mpaka binadamu mwingine anakuja kulala kwako, wewe unaendaga kulala wapi?



Cc: mahondaw
 
Mkuu Fanya uchunguzi acha uboya ukaushe utapata fedheha utalea watoto sio wako, asilimia kubwa kama huyo mtu anakuja usiku tu zaidi ya Mara moja tayari unachapiwa halafu hawa wanawake wapumbavu sana hapo anajua mtoto haelewi chochote au kalala fofofo na ukute wanagegedana na mtoto anasikia ila hawezi kukuambia Fanya kitu acha uboya watoto wataharibika kisaikolojia huko mbeleni kwa ufuska wa mama yao Nina reference hapa mtaani kuna mama na mwanae wa kike ka form 3 ilifika kipindi wanagegedwa mama na mtoto na jamaa baba mwenye nyumba mze wa mishemishe kama wewe
 
Back
Top Bottom