Inaonekana kuna jamaa analalaga na mke wangu ndani ya nyumba yangu

kausha tu sio ishu
 
Mkuu mrejesho vipi.
 
Imeishia wapi.
 

Hili swali kamuulize Mama yako, maana nadhani una upungufu.
 
Mkuu huon kuwa nikimhoji ntahatarisha maisha ya mtoto?? Naona Kama mtoto anaweza akamgeukia,ni kweli tunaish mikoa tofaut
.
Huna akili, unajua maama ya kuhoji, acha ugongewe tu, mtoto wako ana akili kukuzidi, unashindwaje kumhoji bila kumhusisha mtoto?

Unamwambia jana kuna mtu aliona mwanaume anagonga hapa usiku, mlango ukafungulia, akavunga akaona tena huyo mtu akitoka.

Atakuja na picha, sasa kabla picha hazijaja wd jielezee tu ni mwanaumwle gani kalala kwangu
 
Fuatilia kimya kimya
 
Pole sana
 
ukianza kusema tu mtoto kakuambia maan ayake suahkuwa dhaifu sana...tumia akili hapo ashaliwa ashaleta mwanaume...tumia mbonu zingine ila sio uje kulia lia tena iwezi kumuacha...hapo ni maamuzi uhakikishe ajue kuwa unajua aliingiza au aga unasepa au uwepo ila usilete vurugu za kijinga...lengo lako nini aumfume au umuonyeshe unajua alingiza mwanaume...etc sasa akiliyako baada ya hap amua uendele naye au umpe onyo amana hamna mkamilifu, etc au basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…