Inaonekana Mo Ibrahim hana raha tena ndani ya Simba SC

Inaonekana Mo Ibrahim hana raha tena ndani ya Simba SC

Kweli kbs MO namkubali sana zaidi ya Mavugo kwa nini sasa!!!! Wampe match hata 3 mfululizo
 
Omog sijui nikocha wa namna gani anamwacheje mo Ibrahim benchii
mashabiki si tunamatatizo sana tunataka mo,mkude,ndemla,kichuya,okwi,mzamilu,niyo wote wacheze Hiko kitu hakiwezekan...na kocha ndo anawafaham wachezaj wake vzuri.kinachotakikana ni ushindi tu acheze yeyote yule..hata kocha anahtaj Tim ishinde,,...
 
Hivi wewe unaona wanauwezo gani wehanga wale mo nizaidi ya okwi
Kamwambie mwanao apambane aache ubishoo mpira lazima ukaze ili ucheze asisubiri kupasiwa tu ili acheze lazima akabe pia Omog sio mjingamjinga anataka mchezaji wa kupambana Kama alivyo kichuya.

Kichuya sio mchezaji mzuri hiivyo kumzidi mtu Kama Mo lakini anapambana yani anamsaada kwenye timu,hata Mzamiru sio fundi Sana Kama Ndemla lakini anapambana mno.akaze tu atacheza
 
Kamwambie mwanao apambane aache ubishoo mpira lazima ukaze ili ucheze asisubiri kupasiwa tu ili acheze lazima akabe pia Omog sio mjingamjinga anataka mchezaji wa kupambana Kama alivyo kichuya.

Kichuya sio mchezaji mzuri hiivyo kumzidi mtu Kama Mo lakini anapambana yani anamsaada kwenye timu,hata Mzamiru sio fundi Sana Kama Ndemla lakini anapambana mno.akaze tu atacheza
Sasa mkuu huyo omong mbona msimu uliopita alimtumia mo na akamsaidia saana Leo amekuaje sio mpambanaji omong hajielewi tu au huyo okwi anapambana kitu gani amekua hata chenga hawezi kupiga
 
Timu anasajiri haji manara atayajua hayo yeye?. Kulikua kuna umuhimu gan kuwa na niyonzima wakati una huyu mtu? Haya wamemchukua kapombe bado majeruhi ili mradi tu tuseme wamesajiri kutoka azam. Muda mwing mchezaj katumia kuwa nje wao kwapu.... kuna yule nicholus mghana sijui inafanya nini pale... mwingine ni mavugo anapoteza pesa tu lakin kwa vile aliletwa kwa mbwembwe wanashindwa watamuacha vip.. SAFI SANA MANARA mnasajiri kuifunga yanga
 
Kwa nn kusubiri wachezaji toka simba tengenezeni wakwenu
Kwani nyie hao mnaowasajili mliwatengeneza? Niyonzima alikuwa wapi kabla ya kuja huko? Huyo Mo na Kichuya mliwatengeza nyie! Wenu mliowatengeza kina Galas, Chanongo, Miraji, Isihaka mbona hamkukaa nao?
 
Kwa Mohamed Ibrahima kukaa benchi hata sijui ni Omog mwenyewe au ni viongozi wanashinikiza Mavugo na Niyonzima wapangwe. Haihitaji kuwa kocha kuweza kujua na kuona uchezaji wa Mo ukilinganisha na Mvugo/Niyonzima nani anisaidia timu. Wakati mwingine nahisi viongozi wanaona aibu Mavugo/Niyonzima kukaa benchi wakati wamewasjili kwa mbwembwe na mamilioni ya pesa. Simba inahitaji apatikane kiongozi mwenye maamuzi magumu ambaye atawapiga bei Mavugo na Niyonzima na mshahara wao waongezewe akina Mo, kICHUYA, na wengineo. Pia hiyo kamati ya usajili chini ya Hanspope ni wakati wa kuivunjilia mbali kabisa. Sijui ilikuwa inafikiria nini kumsajili mtu kama Luizio pamoja na uwezo mdogo aliouonyesha kwenye ligi mwaka jana halafu wakampa tena mkataba. Iundwe kamati ya watu makini wenye kuujua mpira sio tu ilimradi we shabiki wa mpira na unaipenda simba na unatoa pesa halafu unawekwa kwenye kamati. Wachezaji wa zamani kibao wapo wangewekwa kwenye hiyo kamati.
 
Omog mpumbavu sana,anawaharibia maisha vijana zee lina roho mbaya sana. Mwacheni Mo atafute maisha kwingine
 
Haiitaji hata ujue Mpira kujua kwa Huyo Dogo ni Machine gun.Hata anayejihusisha na Mpira wa Pete ataligudua hilo.Kiwango cha Niyonzima kwa sasa hakifiki hata Nusu ya huyu Chalii.Viongozi wasiangalie Pesa aliyonunuliwa waangalie Impact yake ndani ya Dimba.Mbona Yanga alikua anakalishwa bench.Tuwe wakweli MO namba 11 atatusaidia sana na Si Niyonzima.Kama Wanaona Aibu kuanika pesa Jukwaani basi Okwi achezeshwe 9,Niyonzima 10 na huyu Dogo apewe 11 aendelee kuwasha Moto
 
Back
Top Bottom