magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Mkuu mbona na nyie huwa mnasubiri wachezaji toka Mtibwa?Kwa nn kusubiri wachezaji toka simba tengenezeni wakwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona na nyie huwa mnasubiri wachezaji toka Mtibwa?Kwa nn kusubiri wachezaji toka simba tengenezeni wakwenu
Niyonzima mlimtengeneza nyie?Kwa nn kusubiri wachezaji toka simba tengenezeni wakwenu
Mtibwa sio wapinzani wetu wa jadiMkuu mbona na nyie huwa mnasubiri wachezaji toka Mtibwa?
Alitengenezwa na APRNiyonzima mlimtengeneza nyie?
Acheni mapenzi yaajabuajabu Moe hawezi fikia uwezo wa niyonzima na OkwiKama kunakitu kinachoniskitisha kwa sasa nikumuacha benchi mo Ibrahim ifike muda watu kama kina okwi niyonzima waanzie benchi wawape vijana waonyeshe vipaji halis
Hivi wewe unaona wanauwezo gani wehanga wale mo nizaidi ya okwiAcheni mapenzi yaajabuajabu Moe hawezi fikia uwezo wa niyonzima na Okwi
mashabiki si tunamatatizo sana tunataka mo,mkude,ndemla,kichuya,okwi,mzamilu,niyo wote wacheze Hiko kitu hakiwezekan...na kocha ndo anawafaham wachezaj wake vzuri.kinachotakikana ni ushindi tu acheze yeyote yule..hata kocha anahtaj Tim ishinde,,...Omog sijui nikocha wa namna gani anamwacheje mo Ibrahim benchii
Kamwambie mwanao apambane aache ubishoo mpira lazima ukaze ili ucheze asisubiri kupasiwa tu ili acheze lazima akabe pia Omog sio mjingamjinga anataka mchezaji wa kupambana Kama alivyo kichuya.Hivi wewe unaona wanauwezo gani wehanga wale mo nizaidi ya okwi
Sasa mkuu huyo omong mbona msimu uliopita alimtumia mo na akamsaidia saana Leo amekuaje sio mpambanaji omong hajielewi tu au huyo okwi anapambana kitu gani amekua hata chenga hawezi kupigaKamwambie mwanao apambane aache ubishoo mpira lazima ukaze ili ucheze asisubiri kupasiwa tu ili acheze lazima akabe pia Omog sio mjingamjinga anataka mchezaji wa kupambana Kama alivyo kichuya.
Kichuya sio mchezaji mzuri hiivyo kumzidi mtu Kama Mo lakini anapambana yani anamsaada kwenye timu,hata Mzamiru sio fundi Sana Kama Ndemla lakini anapambana mno.akaze tu atacheza
Washabiki mbumbumbu utawajua tu,eti tengenezeni wakwenu,hii sio lugha ya mpenzi wa sokaAlitengenezwa na APR
GuuuudMchawi wa Simba ni viongozi wake wenyewe.
Kwani nyie hao mnaowasajili mliwatengeneza? Niyonzima alikuwa wapi kabla ya kuja huko? Huyo Mo na Kichuya mliwatengeza nyie! Wenu mliowatengeza kina Galas, Chanongo, Miraji, Isihaka mbona hamkukaa nao?Kwa nn kusubiri wachezaji toka simba tengenezeni wakwenu