Inaonekana Sabaya anataka kuzama na Mbowe

Hata mwananchi wakawaida alikuwa adui wa vitendo vya Sabaya alikula akavimbiwa hakutapika akaendelea kula hadi akajikuta ICU baada ya kushindwa kupumua....alishindwa kula kwa urefu wa kamba yake kwa lugha nyepesi
 
Nikifatilia global tv kesi ya sabaya inaonekana imetaka tu ifunge lakini ile kesi wanansheria wa serikali pamoja na mashahidi wa serikali ni wepesi kama karatasi! Hakuna la maana ambalo unaweza kusema kweli jamaa alihusika direct sehemu hi...
Wewe ndio wale mapimbi mliokuwa mnanunuliwa bia na jambazi Ole Sabaya?
 
Huyo Sabaya alitoa taarifa kama anatafutwa na wahalifu? Mwenyekiti wa ulinzi unaetembea na SMG na Pistol kiunoni unalia eti ulitaka kuuwawa na nani? Ile awamu Sabaya,Ali Hapi, Charamila na yule mwingine wa Dar mlikuwa untouchable.

Mkiguswa tu basi ulinzi wote wa magogoni unakuja kutoa backup na wasiojilikanika wangekuwa kazini kumsaka huyo mbowe. In short maisha ya wapinzani yalikuwa mashakani 24 hrs na mda wa kupanga hayo hawakuwa nayo Kwani kesi za uchochezi zilikuwa zimewabana,
 
Eti Sabaya amzamishe mbowe thubutu,mwambie aende atatoe ushahidi kesi ya mbowe mbele ya ile team ya mawakili ,wenzake wamejikojolea yeye atajinyea
 
Kwa hilo nitakuwa wa mwisho kuamini!!kwani ni unyama mwingi sana ameufanya, na ndio maana kwa haya yote hakuna mwenye mashaka nayo kuwa hakuyafanya, ukianzia kwenye hiyo kesi ya ujambazi kila kitu kilikuwa wazi kabisa, na hata hii ushahidi uliopo unatosha kabisa kumpa mvua nyingine za kutosha!!unaona kesi za KUBUMBA, kama ya mbowe inavyowapa tabu mawakili wa serikali na mashahidi wao?shaihidi huyu anasema hivi yule hivi!!lakini ya Sabaya kila shahidi anapita mule mule tu.kuna nini hapo?
 
kama sabaya alikuwa jambazi wa wazi na mbowe alitaka kumuua jambazi kuna tatizo hapo?

mbowe angekuwa amesaidia sana wananchi
 
Shetwani mkubwa, huyu alitakiwa awe jehenam awe anatandika kitanda cha lucifer!
 
kilaza
 
Hukumu zote zitaenda kwa wakati mmoja na hata akifungwa mingine 30.

Huyu atarudi uraiani within 13 year's.

Mtamuona akipita na V8 ingine maana anao mifugo ya kutosha na atakuta imezaliana.

Shangaa mtoa rushwa Mrosso yuko huru,huku mpokeaji akiwa magereza.

Sheria inasema mtoaji na mpokeaji wote huwa ni watuhumiwa na walistahili kuwa mbaroni.
 
Ulitaka Mrosso akamatwe na nani wakati mkamataji kwa "wadhifa"(mkuu wa wilaya na mwakilishi wa Rais) ndiye aliye kuwa analazimisha apewe rushwa.

Je Mrosso angeweza kwenda kushitaki wapi wakati bado Sabaya ni mkuu wa wilaya aliyekuwa amekasimishwa nguvu za Rais ktk "special task force" Ulitaka auliwe?
 
It seems to me that you are trying to influence that Sabaya is Ok but Mbowe is guilty
 
Sabaya maji yamemfika shingoni hadi anatoa utetezi usio wa kisheria.
 
Simu za Mbowe zilikwisha pimwa kisayansi jina la Sabaya halimo na maabara imefungwa, kesi inajibiwa kwa ushahidi madhubuti.
 
Unajua maana ya kum- blackmail mtu??

Ukiwa ukishakua upande huo basi unakua mbumbumbu moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…