Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Wanasheria wa serikali always ni wepesi lakini Sabaya ana maovu mengi alokuwa akitenda wazi wazi...Nikifatilia global tv kesi ya sabaya inaonekana imetaka tu ifunge lakini ile kesi wanansheria wa serikali pamoja na mashahidi wa serikali ni wepesi kama karatasi!
Hakuna la maana ambalo unaweza kusema kweli jamaa alihusika direct sehemu hii! Anaemtuhumu Sabaya kuwa alimpa rushwa ya milion 90 yupo nje analanda wakati anajinasibu alimpa milion 90 ili asimkate kwa kosa la kukwepa kodi.
Alipoulizwa askari ambae ni shahidi kuwa huyo mtu mmemkata? Akajibu hapana! Kwanini hamjakmata wakati amekwepa kodi? Kimyaaa! Sawa njoo kwenye footage za cctv camera yani hakuna sura ya mtu inayoenekana lakini wanaipeleka mahakaman kama ndiyo ushahidi wao.
Kumbuka keshakula 30... bado anajitetea kesi ya pili... Akimaliza kuna ya tatu na ya nne! Bado ya ubakaji!